Kumekucha sisi yetu macho Ila tunapoelekea ngoja tuone

Kumekucha sisi yetu macho Ila tunapoelekea ngoja tuone

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
14,266
Reaction score
40,225
IMG-20250613-WA0323.jpg
IMG-20250613-WA0328.jpg
 
Sasa huyo mlalamikaji akiulizwa ana ushahidi gani kama Rais kaingilia upangwaji wa ratiba sijui kama anao...

Maana hakuna mahali Rais katoa tamko kuonesha kaingilia, zaidi ya kuwaalika hao viongozi Ikulu pasipo kutajwa ajenda za kukutana nao...
 
Kwamba agenda ilikuwa uchaguzi October duhhh
 
Sasa huyo mlalamikaji akiulizwa ana ushahidi gani kama Rais kaingilia upangwaji wa ratiba sijui kama anao...

Maana hakuna mahali Rais katoa tamko kuonesha kaingilia, zaidi ya kuwaalika hao viongozi Ikulu pasipo kutajwa ajenda za kukutana nao...
Mpumbavu tu huyo
 
Kuna mashabiki wengi wajinga wajinga hapa Tanzania,,unaposema siasa imeingilia Mpira unatakiwa uwe na ushahidi usiokuwa na shaka juu ya ilo jambo,,Serikali aiwezi kutoa maamuzi kwenye vyombo vya soka lakini inaweza kutoa ushauri na wanakuwa wako sahihi!
Akuna mahala Serikali imetoa maamuzi ndani ya chama cha soka labda imetoa ushauri na ushauri unaweza kuufanyia kazi ama kuuacha,,kwa mfano sakata la yanga na bodi ya ligi tiyali bodi ilikuwa ishashindwa kuutatua mgogoro walioutengeneza wao wenyewe na ata tff walishashindwa kuutatua sasa mlidhani nani angeutatua?
Lazima Serikali ingeingilia kati kwa maslai mapana ya Mpira wetu kutoa ushauri ya nini kifanyike sababu viongozi wa bodi walishaonyesha awataki kujiuzulu kwa blunder walizozifanya na waliona wako sahihi kuendelea akuwepo pale jambo ambalo alikuwa sahihi!
 
Mwenyekiti
Chairman Mangungu
Chairman Mangungu
 
Back
Top Bottom