Wewe ndo una aKili kuliko wote hapaa
Wewe ndo una aKili kuliko wote hapaa
Kuna video ya waziri wa ujenzi akimsifia raisi katuliza nchi.. ipo lwenye mitandao ya AzamSasa huyo mlalamikaji akiulizwa ana ushahidi gani kama Rais kaingilia upangwaji wa ratiba sijui kama anao...
Maana hakuna mahali Rais katoa tamko kuonesha kaingilia, zaidi ya kuwaalika hao viongozi Ikulu pasipo kutajwa ajenda za kukutana nao...
Lakini taratibu za FIFA haziruhusu mkono wa serikali katika soka.Ina maana mpka sasa hauja ona madudu ya bodi?
Serikali imeingilia wapi?Lakini taratibu za FIFA haziruhusu mkono wa serikali katika soka.
Kwani jana viongozi wa Simba na yanga walikuwa wapi?Serikali imeingilia wapi?
Ikulu ya Dodoma, kulikua na viongozi wa TFF pale?Kwani jana viongozi wa Simba na yanga walikuwa wapi?
Kwani hujasikia habari za yule kigogo wa serikali aliyeagiza mageti ya uwanja wa taifa yasifunguliwe.Ikulu ya Dodoma, kulikua na viongozi wa TFF pale?
Kwani mechi ikichezwa tarehe 25 kuna ubaya gani?Kwani hujasikia habari za yule kigogo wa serikali aliyeagiza mageti ya uwanja wa taifa yasifunguliwe.
Hakuna ubaya lakini Simba yanga pamoja na Serikali wanawachezea watanzania.Kwani mechi ikichezwa tarehe 25 kuna ubaya gani?
Alie tu alizidiBasi Manara kamtia sana mabanzi Wallace Karia mpaka amalia