Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Jana hio huna habari?Lini hiyo mkuu
Jana hio huna habari?Lini hiyo mkuu
Sasa huyo mlalamikaji akiulizwa ana ushahidi gani kama Rais kaingilia upangwaji wa ratiba sijui kama anao...
Maana hakuna mahali Rais katoa tamko kuonesha kaingilia, zaidi ya kuwaalika hao viongozi Ikulu pasipo kutajwa ajenda za kukutana nao...
Ujinga unaletwa na kuwa na Viongozi, wasio kidhi vigezoMpira wa miguu nchini umejaa ujinga tu mwingi.
Ndio naingia huku duniani mda huuJana hio huna habari?
Basi Manara kamtia sana mabanzi Wallace Karia mpaka amaliaNdio naingia huku duniani mda huu
Huyu mazengo boy mbona kakurupuka?
Taahita anafundishika?Natamani sana tupigwa ban na fifa kama ikiwezekana kwa sababu Iko wazi kabisa aviongozo wa Serikali wameshinikiza viongozi wa wanaoongoza soka letu kujiuzulu.
Natamani sana tupigwe hata ban ya miaka hata kumi Ili iwe fundisho maana ukumanyoko umezidi hapa nchini.
Hapa sisimami na Simba Wala yanga maana ote ni matahira, matahira wakubwa sana.
Cc Mnyambo wa kyerwa Labani og Al-mukheef
Hafundishiki.Taahita anafundishika?
Wakati Mwana FA anasafiri na timu mlikuwa hamsemi serikali inaingilia, goli la Mama hamsemi chochote, serikali imeingia gharama kubwa kwa Mkapa ili mcheze fainali yote hamyaoni ila leo ndio serikali ndio inaingilia mpira?
Ina maana mpka sasa hauja ona madudu ya bodi?Natamani sana tupigwa ban na fifa kama ikiwezekana kwa sababu Iko wazi kabisa aviongozo wa Serikali wameshinikiza viongozi wa wanaoongoza soka letu kujiuzulu.
Natamani sana tupigwe hata ban ya miaka hata kumi Ili iwe fundisho maana ukumanyoko umezidi hapa nchini.
Hapa sisimami na Simba Wala yanga maana ote ni matahira, matahira wakubwa sana.
Cc Mnyambo wa kyerwa Labani og Al-mukheef