Kuna taratibu za kununua mkataba wa mchezaji sio kisa una hela tu bas unaweza kufanya chochote,Ndo kanunua sasa huo mkataba wenu wa kimaskini!!!....hamuelewe nini???au mmevurugwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna hela vinyesi fc..na wanamtaka na job sjui itakuaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninachoamini hakuna mchezaji wa kisasa anacheza kisa umaarufu. Yanga haijamkuta anauza makopo, imempata anacheza mpira na ameondoka alikothaminiwa zaidi.Kwamba Feitoto akiwa JKU alikuwa maarufu kuliko ambavyo yupo Yanga?
Hizo taratibu Azam wanazijua vizuri sana. Na kwenye michezo ingawa sina hakika kwa Tanzania ilivyo, kisheria huwezi mlazimisha mchezaji abaki kama hataki. Hii ni kuondoa ile hali ya timu kujimilikisha na kuwalazimisha wachezaji kama vile mateka. Mchezaji analindwa akae kwenye timu kwa consent.Kuna taratibu za kununua mkataba wa mchezaji sio kisa una hela tu bas unaweza kufanya chochote,
Mimi nimesikia wanamtaka Kibu.Naskia wanamtaka na inonga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]simba na yanga tuandamane hawa azam wanataka kututania hawa
Wakati anasaini hakujua kuwa ni ndogo?Kama kweli analipwa mshahara wa 4m ni bora tu aondoke, Morrison hawezi kulipwa mshahara mara 4 ya Fei, huu ni uonevu uliopindukia! Mpira ni kazi kama zilivyo kazi nyingine ipo siku nguvu zitamuishia Fei atajivunia nini kama sio maslahi mazuri atakayatengeneza sasa! Life is now Fei fuata taratibu nenda kavute mshahara mzuri au ongea na mwajiri wako Yanga akuongezee mshahara wanaotaka kukulipa Azam period!!
Hakuna mkataba usiokuwa na kipengele Cha kuvunjwa..la sivyo utakuwa ni utumwa..dogo hajakurupuka..Mbona hizi habari zimekuwa zenye kjzungumkuuti wakati ni jambo jepesi.........watu wakae mezani wayamalize kwa amani....hakuna haja ya kulazimishana.......
Mkataba ni makubaliano ya pande mbili, huwezi walipa sawa watu wote, ukisema hivyo basi timu yote iwe na standard rate kwa wachezaji wote.Acha uongo we kimba fc ,feisal kaaga Leo Tena muda sio mrefu nenda kwa page yake .
Mpeni pesa ya maana muone Kama ataondoka .Yaan Morrison alambe 18m alafu fei 4m huu si ni upumbavu kabisa.
Kwanza fei alipaswa awazid wachezaji wote hapo kwa salary ,maana yeye ndie injin ya timu .
Mmezoea kuwanyonya watanzania wenzenu na kuwapaparikia wageni ambao wanakua wakawaida tu kiuchezaji.
Na hili liwe fundisho hata kwa vilabu vingine ,wathamin wazawa wenye vipaji Kama fei.
Na hata akibaki fei hapo yanga lazima alipwe sawa na akina aucho au aziz key ,Mambo ya wageni wanakatwa Kodi nyingi hiyo haipo ,lipa pesa sawa na kiwango Cha mhusika
Umemaliza mjadala..viongozi wanajaribu mchonganisha dogo na mashabiki..ni upumbavu wa Hali ya juu....Acha uongo we kimba fc ,feisal kaaga Leo Tena muda sio mrefu nenda kwa page yake .
Mpeni pesa ya maana muone Kama ataondoka .Yaan Morrison alambe 18m alafu fei 4m huu si ni upumbavu kabisa.
Kwanza fei alipaswa awazid wachezaji wote hapo kwa salary ,maana yeye ndie injin ya timu .
Mmezoea kuwanyonya watanzania wenzenu na kuwapaparikia wageni ambao wanakua wakawaida tu kiuchezaji.
Na hili liwe fundisho hata kwa vilabu vingine ,wathamin wazawa wenye vipaji Kama fei.
Na hata akibaki fei hapo yanga lazima alipwe sawa na akina aucho au aziz key ,Mambo ya wageni wanakatwa Kodi nyingi hiyo haipo ,lipa pesa sawa na kiwango Cha mhusika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao hata muda huu waondoke. Mtu kama kibwana wa nini?Kengele ishaanza kulia kwa job na kibwana
Unaujua mshahara wa Morrison wewe?Kama kweli analipwa mshahara wa 4m ni bora tu aondoke, Morrison hawezi kulipwa mshahara mara 4 ya Fei, huu ni uonevu uliopindukia! Mpira ni kazi kama zilivyo kazi nyingine ipo siku nguvu zitamuishia Fei atajivunia nini kama sio maslahi mazuri atakayatengeneza sasa! Life is now Fei fuata taratibu nenda kavute mshahara mzuri au ongea na mwajiri wako Yanga akuongezee mshahara wanaotaka kukulipa Azam period!!
Mimi nimesikia wanamtaka Kibu.
Kuna taratibu za kununua mkataba wa mchezaji sio kisa una hela tu bas unaweza kufanya chochote,
Umesema???Acha uongo we kimba fc ,feisal kaaga Leo Tena muda sio mrefu nenda kwa page yake .
Mpeni pesa ya maana muone Kama ataondoka .Yaan Morrison alambe 18m alafu fei 4m huu si ni upumbavu kabisa.
Kwanza fei alipaswa awazid wachezaji wote hapo kwa salary ,maana yeye ndie injin ya timu .
Mmezoea kuwanyonya watanzania wenzenu na kuwapaparikia wageni ambao wanakua wakawaida tu kiuchezaji.
Na hili liwe fundisho hata kwa vilabu vingine ,wathamin wazawa wenye vipaji Kama fei.
Na hata akibaki fei hapo yanga lazima alipwe sawa na akina aucho au aziz key ,Mambo ya wageni wanakatwa Kodi nyingi hiyo haipo ,lipa pesa sawa na kiwango Cha mhusika
Sahihi, nadhani hakupata washauri wazuri. Hizi timu mbili za kariakoo ni za kwenda nazo taratibu. Yetu macho.Huyu kijana ndio basi tena !