Kumekucha: Yanga wamjibu Feisal Salum (Fei Toto)

Hata Azam nae aende taratibu.. simba na yanga ni zaidi ya tuzijuavyo.

Kwa milion 16? Hata kama career yake itakufa, yanga wasingeweza kumpa! Akilipwa Kwa mwaka Tu Yuko vizuri
 
Mtu keshawaaga mijitu bado imekaza mishipa na fuvu kumkumbatia si wamuache akatafute maisha pengine.
 
Huo ndio ukweli Mkuu. Kipindi anaingia mkataba 4m kwake ilikuwa kubwa sana hata mama yake aliridhia. Tatizo wachezaji wa bongo wanaangalia karibu na sio mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…