Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

Combination ya Bashiru, Nchimbi na Makonda itakuwa balaa kisiasa. Itakuwa bonge la Combo.
 


Kaongeeni haya mambi ya chama chenu kuu kuu huko ndani, hatutaki hata kusikia, mmeshindwaje kuishi na Kinana?
 
MAKAMU MWENYEKITI

WANAOTAJWA NI

Mizengo Pinda
Abdalllah Bulembo
Steven Wassira na
Dr Bashiru Ally Kakurwa.

Anayefaa ni Dr Bashiru Ally Kakurwa
Nakubaliana nawe pia ndiye aliyebaini yaliko matundu yanayovujisha maji kwenye mtungi wa chama
NAFASI YA KATIBU MKUU

Wanaotajwa ni

Nape Nnauye

Amos Makala

Dr Albert Chalamila na

Dr Emmanuel Nchimbi

Anayefaa ni Dr Emmanuel Nchimbi
Bora wampe huyo anayezurura kwenye lori huko Kageea,
 
Nani sasa? Ni Pascal Mayalla au Lucas mwashambwa au ChoiceVariable au FaizaFoxy mzanziber? Nani anafaa?
Mkuu wewe subili utaona, inshu inatakiwa iende kwa usiri kama ambushi. Shida ya hawa uliowataja wanajiamini sana, wanaonge chochote na yeyote, huu ni uzaifu hasa unapotaka kufanya jambo kubwa na muhimu lenye madui wanaokufahamu.
Sasa ukiwa na watu wa aina hii huwezi kukamilisha mipango.

Tukiangalia shida kubwa kwa sasa ipo ndani ya chama na sio nje.hivyo wanatakiw watu wasiri na wenye maamuzi ya kushtukiza na kwa usahihi bila ya kuacha manung'uniko wala uadui wa kudumu hadi vizazi.
 
Huwa mnaamini Sana porojo,kiongozi wa chama anawezaje kuweka kauzibe kwa kuzuwia katiba kutekelezwa!?...mnaichukulia nchi Kama Simba na yanga,kondegang na wasafi
Mkuu ugomvi huu haupo kwenye katiba yako ya serkali.ugomvi huu upo kwenye katiba ya chama hasa linapokuja swala la kumpata kiongozi wa juu kabisa.ukienda hovyo unamwagwa na katiba ya chama na usandikizwa na wimbo wa mbele kwa mbele. Hivyo ni lazima uweke watu makini.
 
Nafuu yenu pekee (CCM), ni kukosekana chama (vyama) vya upinzani vyenye nia madhubuti ya kuikomboa nchi toka kwenye umateka mnayoifanyia nchi hii.

Utawataja wote hao unaowawekea matumaini kuiokoa CCM, lakini ukweli ni kwamba chama hicho katika mfumo unaokiendesha sasa hivi, hakiwezi kuwekewa matumaini yoyote ya kusimamia maslahi ya nchi hii.
 
Naunga mkono hoja kwa Dr. Bashiru na Dr. Nchimbi
 

Abdalllah Bulembo, Steven Wassira na Emanuel Nchimbi hawafai kabisa.

Bashiru akiwa makamu, kutakuwa na mabadiliko makubwa sna ya kiutendaji serikalini, na pia, nafasi ya Ukatibu mkuu Polepole angefaa sana.

Nape ni mbumbumbu mwingine kama Nchimbi na January Makamba.
 
Polepole HAFAI hapo KM anafaa Dr. Nchimbi
 
Endapo Mzee Kinana atastaafu Mzee Pinda ndio Mtu Pekee kwa Sasa mwenye sifa kushika Nafasi ya Makamu CCM Bara.
Mzee Pinda ni Chuo Cha Uongozi

Nafasi ya Sg Bado Chongolo yupo sana tu mpaka 2025 uchaguzi unamalizika baadae akatumikie cheo kikubwa zaidi.
 
CCM ya sasa hata aje malaika kuiongoza hataweza kubadilisha chochote.

Ili CCM ibadilike,lazima watu wengi wafungwe.
Hili haliwezekani na sera yao ya wizi na uwenzetu.
 
Hujamtaja "Mwenyekiti wa Chama", kubadilishwa.
Kwa hiyo kazi yako kwenye mada hii iko wazi. Siyo kukiimarisha chama kama unavyo dai wewe, ila upo hapa ukifanya kazi ya "uchawa."
 
Nadhani Nchimbi anafaa sana na Dkt Bashiru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…