Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba kupumzika na kwa upande wa Katibu Mkuu inasemekana Mama haridhishwi na utendaji wa katibu mkuu wa sasa Ndg Daniel Chongolo.
Kwenye Ukatibu sitii neno kwa kuwa siwafahamu vizuri ila kwenye Umakamu naona Dr Bashiru hapana. Huyu staili yake ilikuwa inaendana na Kamanda Magu. Hapo watu wawili wanaweza kuwa sahihi nao ni Bulembo ama Wasira.
 
1700000991555.png
 
Kama nitakua na kumbukumbu mbaya nisahihishwe, ila forest Hill ilikua shule ya kifahari na sio wote wa kawaida waliopata nafasi ya kusoma ile shule kwa maana ya viwango vya taaluma vilivyokuwa vinapatikana pale.
Ni shule iliyokuwa na ada kubwa hivyo kupelekea wanafunzi wanaotoka familia zenye fedha tu. Ila ukweli ni kwamba, wanafunzi wa Forest Hill wote walikuwa wamefeli masomo yao, moja ya sifa ya kujiunga pale ni kuwa kilaza, yaani kufeli kama walivyo feli mitihani vilaza wengine.
 
Kwa hiyo ilikuwa shule ya vilaza kwa miaka hiyo eti eeh
 
Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba kupumzika na kwa upande wa Katibu Mkuu inasemekana Mama haridhishwi na utendaji wa katibu mkuu wa sasa Ndg Daniel Chongolo.

Sina uhakika kama taarifa hii ni ya kweli lakini kama mwana CCM nimeandaa uchambuzi huu ili kuangazia ni makada gani wa CCM wanaweza kuwa msaada mkubwa hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025.

Ni ukweli usiopingika kuwa upinzani umekua hapa nchini na vilevile kuna changamoto nyingi za wananchi hazijashughulikiwa ipasavyo hivyo ni muhimu CCM ikawapata viongozi makini zaidi,wenye uwezo mkubwa zaidi waadilifu na wenye uwezo wa kuunda mfumo imara unaoweza kuisimamia serikali.

MAKAMU MWENYEKITI

WANAOTAJWA NI

Mizengo Pinda
Abdalllah Bulembo
Steven Wassira na
Dr Bashiru Ally Kakurwa.

Anayefaa ni Dr Bashiru Ally Kakurwa

Huyu amewahi kuwa katibu mkuu wa CCM,na alihudumu kwa muda mfupi katika nafasi ya Katibu mkuu kiongozi baada ya kifo cha Kijazi.Huyu ni msomi wa ngazi ya Daktari wa falsafa na kwakuwa ni mtaalamu mbobezi wa sayansi ya siasa anajua vilivyo namna ya kwenda na upepo wa siasa.

Alifanya kazi nzurikama Mwenyekiti wa kamati maalumu iliyopewa kazi na JPM ya kukagua,kubaini na kuchunguza mali za CCM nchi nzima.

Kamati hii ndiyo iliyowaondoa mchwa wote waliokuwa wameatamia mali za Chama na mapato ya CCM yaliongezeka zaidi kutokana na kazi nzuri iliyofanywa na kamati hiyo.

Huyu ndiye mtu sahihi zaidi katika nafasi ya makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kwa wakati huu.

Bado umri unamruhusu na ni mtu mwenye ushawishi mkubwa wa kisiasa hapa nchini kutokana na imani ya walio wengi kuwa hana harufu ya ufisadi na track record yake inaonyesha kuwa siyo kiongozi anayetumia nafasi yake kujinufaisha.

Isitoshe ni muumini mzuri wa siasa ya ujamaa na kujitegemea ambayo ndiyo itikadi ya CCM.

Wana CCM wengi wanamkubali na kama atateuliwa katika nafasi hiyo CCM watakuwa wamelamba dume

NAFASI YA KATIBU MKUU

Wanaotajwa ni

Nape Nnauye

Amos Makala

Dr Albert Chalamila na

Dr Emmanuel Nchimbi

Anayefaa ni Dr Emmanuel Nchimbi

Huyu ni miongoni mwa viongozi seniors ndani ya CCM hasa kutokana na kushika nafasi nyeti ndani ya CCM ikiwemo Mwenyekiti wa UVCCM taifa.

UVCCM ya Dr Emmanuel Nchimbi ilikuwa ni UVCCM kwelikweli

Siyo hii ya sasa na sisi wana CCM kindakindaki tuna kamsemo ketu kuwa "Nchimbi aliondoka na UVCCM yake.

Kwhiyo Dr Emmanuel Nchimbi anaijua vyema CCM na hata katika secretariat ya sasa hakuna mtu zaidi yake.

Huyu atakiimarisha Chama zaidi.

Matukio mbalimbali yanayoendelea chini ya kapeti ndani ya Chama yanaonyesha "Chama kimevamiwa"

Baada ya uteuzi wa Mwenezi Paul Christian Makonda ni vyema CCM ikawaleta on board "Viongozi halisi" ili iweze kurudi kwenye njia.

Kwasasa hakuna mtu mwingine anayefaa zaidi ya Dr Emmanuel Nchimbi na kinyume chake ni kuendeleza mzaa.

CCM ya sasa imekuwa dhaifu sana kutokana udhaifu wa baadhi ya wajumbe wa secretariat ya sasa na mtu atakayenyoonya mambo ni Dr Emmanuel Nchimbi.
Du....!
 
Bashiru kakurwa si walisema ni mwizi?
Na maza hamtaki kwakua alimwekea kauzibe asikalie kiti?
Eeeenh, Bashiru hatumtaki, atatuletea u Magufuli hela zitaadimika, kwa sasa Vanguard zimejaa barabarani na mijengo inainuka achilia mbali shelis za mafuta kila baada ya hatua kumi.

NCHIMBI mzee wa msoga hamtaki alikuwa kundi la Lowassa
 
Ulipochambua ni hapo kwa wavamizi wa chama na waleta mzaha.

Naunga mkono mapendekezo yako ila kwa uangalizi tu upande Kakurwa. Ni mtu wa siasa kali sana labda kwa zama hizi anaweza kuwa neutralized.

Nchimbi hana baya, wana nyumbi bombii hakuna shida.
 
"Pamoja na kelele nyingi kwamba mateso yapo lakini kila kukicha watu wanapanda ndege wanakwenda, na msingi unaowaongoza ni uleule kheri nife nikijaribu kuliko kukaa naangamia bila kujaribu kwa sababu ambazo hazina mashiko, na ndiyo maana serikali zetu zimeingia mikataba hii ili kuweka mazingira mazuri ya watu kwenda, yeyote anayetaka kwenda kufanya kazi nje afuate utaratibu kwa kupata uthibitisho wa hiyo ajira,"- Balozi Abdallah Kilima

#MkutanoIkulu
#EastAfricaTV
 
Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba kupumzika na kwa upande wa Katibu Mkuu inasemekana Mama haridhishwi na utendaji wa katibu mkuu wa sasa Ndg Daniel Chongolo.

Sina uhakika kama taarifa hii ni ya kweli lakini kama mwana CCM nimeandaa uchambuzi huu ili kuangazia ni makada gani wa CCM wanaweza kuwa msaada mkubwa hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025.

Ni ukweli usiopingika kuwa upinzani umekua hapa nchini na vilevile kuna changamoto nyingi za wananchi hazijashughulikiwa ipasavyo hivyo ni muhimu CCM ikawapata viongozi makini zaidi,wenye uwezo mkubwa zaidi waadilifu na wenye uwezo wa kuunda mfumo imara unaoweza kuisimamia serikali.

MAKAMU MWENYEKITI

WANAOTAJWA NI

Mizengo Pinda
Abdalllah Bulembo
Steven Wassira na
Dr Bashiru Ally Kakurwa.

Anayefaa ni Dr Bashiru Ally Kakurwa

Huyu amewahi kuwa katibu mkuu wa CCM,na alihudumu kwa muda mfupi katika nafasi ya Katibu mkuu kiongozi baada ya kifo cha Kijazi.Huyu ni msomi wa ngazi ya Daktari wa falsafa na kwakuwa ni mtaalamu mbobezi wa sayansi ya siasa anajua vilivyo namna ya kwenda na upepo wa siasa.

Alifanya kazi nzurikama Mwenyekiti wa kamati maalumu iliyopewa kazi na JPM ya kukagua,kubaini na kuchunguza mali za CCM nchi nzima.

Kamati hii ndiyo iliyowaondoa mchwa wote waliokuwa wameatamia mali za Chama na mapato ya CCM yaliongezeka zaidi kutokana na kazi nzuri iliyofanywa na kamati hiyo.

Huyu ndiye mtu sahihi zaidi katika nafasi ya makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kwa wakati huu.

Bado umri unamruhusu na ni mtu mwenye ushawishi mkubwa wa kisiasa hapa nchini kutokana na imani ya walio wengi kuwa hana harufu ya ufisadi na track record yake inaonyesha kuwa siyo kiongozi anayetumia nafasi yake kujinufaisha.

Isitoshe ni muumini mzuri wa siasa ya ujamaa na kujitegemea ambayo ndiyo itikadi ya CCM.

Wana CCM wengi wanamkubali na kama atateuliwa katika nafasi hiyo CCM watakuwa wamelamba dume

NAFASI YA KATIBU MKUU

Wanaotajwa ni

Nape Nnauye

Amos Makala

Dr Albert Chalamila na

Dr Emmanuel Nchimbi

Anayefaa ni Dr Emmanuel Nchimbi

Huyu ni miongoni mwa viongozi seniors ndani ya CCM hasa kutokana na kushika nafasi nyeti ndani ya CCM ikiwemo Mwenyekiti wa UVCCM taifa.

UVCCM ya Dr Emmanuel Nchimbi ilikuwa ni UVCCM kwelikweli

Siyo hii ya sasa na sisi wana CCM kindakindaki tuna kamsemo ketu kuwa "Nchimbi aliondoka na UVCCM yake.

Kwhiyo Dr Emmanuel Nchimbi anaijua vyema CCM na hata katika secretariat ya sasa hakuna mtu zaidi yake.

Huyu atakiimarisha Chama zaidi.

Matukio mbalimbali yanayoendelea chini ya kapeti ndani ya Chama yanaonyesha "Chama kimevamiwa"

Baada ya uteuzi wa Mwenezi Paul Christian Makonda ni vyema CCM ikawaleta on board "Viongozi halisi" ili iweze kurudi kwenye njia.

Kwasasa hakuna mtu mwingine anayefaa zaidi ya Dr Emmanuel Nchimbi na kinyume chake ni kuendeleza mzaa.

CCM ya sasa imekuwa dhaifu sana kutokana udhaifu wa baadhi ya wajumbe wa secretariat ya sasa na mtu atakayenyoonya mambo ni Dr Emmanuel Nchimbi.
Bashiru hafai hata ujumbe wa nyumba kumi,alitaka kuvunja katiba
 
Zaidi ya miaka 60 bora jana...pumzikeni
CCM watapumzika vipi wakati hakuna chama mbadala, yaani chadema hii iliyojaa unafiki na majungu kiasi kwamba kila mwenye akili anagombana na mwenyekiti??
 
Siwezi kushabikia CCM inayoongozwa na mzanzibari tena ambae anauza rasilimali za Tanganyika siwezi kamwe na 2025 ataondoka apende asipende CCM haifanyi ujinga tena wa kusimamisha embe kwenye minazi never
Hamna uwezo huo,
Mwenyekiti ndio kila kitu Chamani!
Na Ndio Mkuu wa Nchi ambaye Katiba imempa madaraka makubwa sana kiasi kwamba hata Mwalimu Nyerere aliyaogopa hayo yaliyomo kwenye madaraka japo na yeye pia ndiye alikuwa nayo hayo madaraka 😅😅🤣

Hakuna wa kumbabaisha Mwenyekiti labda mwenyewe apende kung’atuka kama alivyofanya Mwalimu Nyerere !!

Hakuna narudia tena hakuna anayeweza kumlazimisha kufanya kile asichotaka kukifanya !

Nguvu ya Mamba kumayi !! Tunasemaga sisi wacongomani 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom