Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

Hao uliowataja ndio WAADILIFU?
CCM MUADILIFU ALIKUWA DEO FILIKUNJOMBE TU.
Waliopo na hata unaopendekeza wote siyo riziki.
Note

Kinana hayuko tayari kuandika barua labda km umemuandikia.
Chongolo yupo sana labda km unapima sisiemu wana maoni gani lkn labda baada ya chaguzi zinazofuata ndipo hayo mabadiliko haya yatakuwepo.
 
Wapiga Ramli mpo wengi sana unasema Huna uhakika halafu unapanga safu akili au matope

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
MAKAMU MWENYEKITI
Anayefaa ni Dr Bashiru Ally Kakurwa

NAFASI YA KATIBU MKUU
Anayefaa ni Dr Emmanuel Nchimbi
Good analysis
Karibu Mkuu nakubaliana na wewe 100%.

M/Mkiti nina reservations
Kwanza Bashiru haziivi na Konda Boy!.
Akiwa KM alisema hiyo ndio final appointment yake!, alipoteuliwa CS akakubali uteuzi!.

Alisema CCM inatumia dola kubaki madarakani!.

Tuelezwe akiwa CS alifanya nini hadi kuondolewa fasta na kupigwa bench la Bungeni?.
p
 
Yaan team Magufuli haiepukiki na ili washinde 2025 lazima waje na mtu aliye na style Magufuli
 
Nchimbi huyu ambae ilibidi Mkapa awape U DC ili kuwatuliza?

Hao wote uliowaandika na ambao wapo chamani kwa siasa za leo ni Irrelevant!!

CCM ilishafikia kifo wakati wa JK ndio maana magufuli alichagua siasa za Dola!! Lkn nakuhakikishia kwa mazingira na nyakati hizi huko CCM hata ashuke masihi kwenye siasa za majukwaani CCM haiwezi nyanyuka tena!!

Samia ana option mbili tu;

Ama arudi kuegemea dola kama Magufuli mbinu ambayo inaweza mpa pumzi kidogo na ikammaliza kama mtangulizi wake.. au

Apishe majira na wakati viamue akapumzike Kizimkazi. Haya anayohangaika nayo hayatamsaidia lolote.
 
Pasacal ni mangap umeendanika hapa na ukaja kuenda utofauti nayo?

Niamini Bado Bashiru ajamaliza Muda wake kwenye Siasa za Tanzania

CCM Unaifahamu vyema jiulize swali jepesi konda boy ulijua week hizi atakua akikatiza mtaani na ndama na farasi zaidi tuliamin konda bado atakua yaya home kwa Mama Keegan😆

GM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…