Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

CCM sio chama cha siasa na wala hakina uwezo wa kupambana kwenye jukwaa la kisiasa.... Kusema ukweli, kama ccm haitaacha siasq za maji taka, hata wamlete kiumbe gani, hawana ushawizi hata kwa wanyama pori, sembuse watanzania.
 
Hao wachovu uliotaja ndio wanaenda kushika nafasi??

Kweli ccm imezeeka.
 
Katibu Mkuu wangempa Sabaya...

Makamu wampe Ally Hapi....
 
Combination ya Bashiru, Nchimbi na Makonda itakuwa balaa kisiasa. Itakuwa bonge la Combo.
Zaidi ya kuuza mabasi ya wanafunzi labda na kushiriki mauaji ya Mwangosi ni kipi alichowahi kufanya Nchimbi cha kupigiwa mfano ?
 
Zaidi ya kuuza mabasi ya wanafunzi labda na kushiriki mauaji ya Mwangosi ni kipi alichowahi kufanya Nchimbi cha kupigiwa mfano ?
Nchimbi alishiriki vipi mauaji ya Mwangosi? Acha kuharibu heshima yako hapa JF. Kwa hiyo kijana wako akimuumiza mtoto wa jirani basi umeshiriki? This statement is too little to you brother.
 
Nchimbi alishiriki vipi mauaji ya Mwangosi? Acha kuharibu heshima yako hapa JF. Kwa hiyo kijana wako akimuumiza mtoto wa jirani basi umeshiriki? This statement is too little to you brother.
Hujui kitu , mwite Nchimbi mwenyewe atueleze hatua alizomchukulia Kamuhanda
 
Never Put Too Much Trust in Friends, Learn How to Use Enemies
Friends are likely to be envious and betray you. The best thing is to hire your enemy, as they will try to prove they are trustworthy.

48 laws of power.... Rule #2
 
Kama nitakua na kumbukumbu mbaya nisahihishwe, ila forest Hill ilikua shule ya kifahari na sio wote wa kawaida waliopata nafasi ya kusoma ile shule kwa maana ya viwango vya taaluma vilivyokuwa vinapatikana pale.
 
Siwezi kushabikia CCM inayoongozwa na mzanzibari tena ambae anauza rasilimali za Tanganyika siwezi kamwe na 2025 ataondoka apende asipende CCM haifanyi ujinga tena wa kusimamisha embe kwenye minazi never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…