Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

Kwenye Ukatibu sitii neno kwa kuwa siwafahamu vizuri ila kwenye Umakamu naona Dr Bashiru hapana. Huyu staili yake ilikuwa inaendana na Kamanda Magu. Hapo watu wawili wanaweza kuwa sahihi nao ni Bulembo ama Wasira.
 
Kama nitakua na kumbukumbu mbaya nisahihishwe, ila forest Hill ilikua shule ya kifahari na sio wote wa kawaida waliopata nafasi ya kusoma ile shule kwa maana ya viwango vya taaluma vilivyokuwa vinapatikana pale.
Ni shule iliyokuwa na ada kubwa hivyo kupelekea wanafunzi wanaotoka familia zenye fedha tu. Ila ukweli ni kwamba, wanafunzi wa Forest Hill wote walikuwa wamefeli masomo yao, moja ya sifa ya kujiunga pale ni kuwa kilaza, yaani kufeli kama walivyo feli mitihani vilaza wengine.
 
Kwa hiyo ilikuwa shule ya vilaza kwa miaka hiyo eti eeh
 
Du....!
 
Bashiru kakurwa si walisema ni mwizi?
Na maza hamtaki kwakua alimwekea kauzibe asikalie kiti?
Eeeenh, Bashiru hatumtaki, atatuletea u Magufuli hela zitaadimika, kwa sasa Vanguard zimejaa barabarani na mijengo inainuka achilia mbali shelis za mafuta kila baada ya hatua kumi.

NCHIMBI mzee wa msoga hamtaki alikuwa kundi la Lowassa
 
Ulipochambua ni hapo kwa wavamizi wa chama na waleta mzaha.

Naunga mkono mapendekezo yako ila kwa uangalizi tu upande Kakurwa. Ni mtu wa siasa kali sana labda kwa zama hizi anaweza kuwa neutralized.

Nchimbi hana baya, wana nyumbi bombii hakuna shida.
 
"Pamoja na kelele nyingi kwamba mateso yapo lakini kila kukicha watu wanapanda ndege wanakwenda, na msingi unaowaongoza ni uleule kheri nife nikijaribu kuliko kukaa naangamia bila kujaribu kwa sababu ambazo hazina mashiko, na ndiyo maana serikali zetu zimeingia mikataba hii ili kuweka mazingira mazuri ya watu kwenda, yeyote anayetaka kwenda kufanya kazi nje afuate utaratibu kwa kupata uthibitisho wa hiyo ajira,"- Balozi Abdallah Kilima

#MkutanoIkulu
#EastAfricaTV
 
Bashiru hafai hata ujumbe wa nyumba kumi,alitaka kuvunja katiba
 
Zaidi ya miaka 60 bora jana...pumzikeni
CCM watapumzika vipi wakati hakuna chama mbadala, yaani chadema hii iliyojaa unafiki na majungu kiasi kwamba kila mwenye akili anagombana na mwenyekiti??
 
Siwezi kushabikia CCM inayoongozwa na mzanzibari tena ambae anauza rasilimali za Tanganyika siwezi kamwe na 2025 ataondoka apende asipende CCM haifanyi ujinga tena wa kusimamisha embe kwenye minazi never
Hamna uwezo huo,
Mwenyekiti ndio kila kitu Chamani!
Na Ndio Mkuu wa Nchi ambaye Katiba imempa madaraka makubwa sana kiasi kwamba hata Mwalimu Nyerere aliyaogopa hayo yaliyomo kwenye madaraka japo na yeye pia ndiye alikuwa nayo hayo madaraka ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ

Hakuna wa kumbabaisha Mwenyekiti labda mwenyewe apende kungโ€™atuka kama alivyofanya Mwalimu Nyerere !!

Hakuna narudia tena hakuna anayeweza kumlazimisha kufanya kile asichotaka kukifanya !

Nguvu ya Mamba kumayi !! Tunasemaga sisi wacongomani ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ