Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.

Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.

Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.

Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Source: The Chanzo
 
Museveni mtu wetu tumemuhifadhi Upanga pale Mindu na Maliki anadaiwa bill za umeme na simu hajalipa mpaka leo na kakimbia mpaka bili ya taxi. Madereva wa Taxi wa zamani wa Muhimbili walikuwa wanamtafuta awalipe kawakimbia, hajamaliza madeni yetu, hakuna mgogoro hapo.
 
Brother miaka imepita na itaoita so and watawala. So kusema museven yupo doesnt guarantee chaose wont broke
God forbid ikitokea we wont be ready
 
Upo na unakuzwa na mtoto wa Mseven Kainerugaba anadai mpaka ni mto Kagera pale Kyaka
 
Brother miaka imepita na itaoita so and watawala. So kusema museven yupo doesnt guarantee chaose wont broke
God forbid ikitokea we wont be ready
Migogoro ya mipaka Uganda mara ya mwisho tuliimaliza kwa vita, Waganda wakumbuke hilo pia.

Umemsikia Mama anasema hataki mchezo wa kuingiliwaingiliwa ovyo na watu wa nje?

We unaona akili zinamtosha yule?

Na akitoka yule tuna tumaini lolote?

On a serious note, mgogoro wa mpaka wa Malawi ni mkubwa kuliko huu, hii ni taharuki tu.
 
Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.

Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.

Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.

Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Source: The Chanzo

Huko Muhoozi si ni mwanetu aka mtoto wa mama, imekuwa je tena?
 
Hakuna mgogoro huo. Madikteta wanatabia ya kuanzisha migogoro ya kitaifa ili ku shift focus na kuunganisha watu dhidi ya adui wa nje wakiwa na matumaini kuwa watu watamsahahu adui wa ndani.
Samia awezi kuunganisha taifa kwa vyovyote ....hata msoga gang wamesha pigwa pin 📌maana tulipo onya kuhusu kundi hatari la raia feki kushika dola na ile ajenda yao ...hao msoga gang walikuwa wanatumika kama vibaraka bila ya kutambua ...ndiyo maana ukiitazama ccm kwa makini utaona kuna kitu kisicho cha kawaida kinaendelea ndani yake ...wale walio jidai wajuzi wa kuogerea ndani ya ccm walio wacheka na kuwakebei sukuma gang sasa wanaonekana kuzidiwa na maji wanaanza kunywa vikombe na kuzamishwa,furaha yao ya kuogerea imegeuka hatari kuu....🤭🤭wapo watu wapumbavu wanao amini msoga gang ndiyo wanao endesha nchi kwa sasa😏😏 ....mimi nawaambia kila sekunde inavyo kwenda ndivyo msoga gang wanavyo zidi kupotezwa na mafuriko ya maji ...ukweli ni kwamba hatari hata wao wameiona ila walichelewa sana kutafuta cha kufanya ....kikwete katumika kipumbavu kama alivyo tumika lissu na chadema kipindi cha JPM ...na dalili kuwa umetumika kipumbavu ni kuona nafsi yako imeanza kuuma(yaani kuwa na maumivu) juu ya kile ulicho kishabikia na kukitukuza..

Ukweli wingine ni huu kama Nyerere au karume wangekuwa hai kipindi hiki cha Samia basi angefanya juu chini kuakikisha wanauliwa kwa namna yoyote ...💥this mean samia ni nani?💥
 
Hili jambo nimekuwa namashaka nalo sana na yule dogo akiingia madarakani ndio patakuwa balaa ujue uganda na rwamda mda mrefu wamekuwa wakijiimarisha sana sisi ni siasa tu jeshi linazindua mradi wa kokoto
Uganda ndo wamejiimarisha kweli kweli. Wana zile Sukhoi SU 30 sita, si mchezo. Balaa na nusu hawa watu.
 
Back
Top Bottom