Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Hili jambo nimekuwa namashaka nalo sana na yule dogo akiingia madarakani ndio patakuwa balaa ujue uganda na rwamda mda mrefu wamekuwa wakijiimarisha sana sisi ni siasa tu jeshi linazindua mradi wa kokoto
Sisi ni CCM KUIBA KURA tu
 
Mwaka huu sinema zitakuwa nyingi Sana za kuhamisha magoli.
Watanzania watahamishiwa kutoka kwenye no reforms no election Hadi kwenye vita vya Uganda, Kwa watu wenye Akili nyingi tunajua hizi ni propaganda za kishamba tu
Nn kifanyike mkuu!?..nyie wenye akili tupeni ushauri
 
Museveni mtu wetu tumemuhifadhi Upanga pale Mindu na Maliki anadaiwa bill za umeme na simu hajalipa mpaka leo na kakimbia mpaka bili ya taxi. Madereva wa Taxi wa zamani wa Muhimbili walikuwa wanamtafuta awalipe kawakimbia, hajamaliza madeni yetu, hakuna mgogoro hapo.
Mkuu unafahamu Mao na wakomunisti wenzake waliungwa mkono na USSR katika vita vyao China ? Nini kilitokea baadae uhusiano kati ya China na USSR kisa mipaka mpaka kuvunjika ?

Museveni anaweza badilika muda wowote au hata Muhoozi
 
Unadhania Uganda wao ndiyo hawana siasa jeshini? endelea kujindanganya jambo usilolijua bora ukae kimya tu! hata hivyo vita siyo sifa ni uharibifu na kutafuta umaskini tu! vita ya kagera mpaka leo madhara yake yanatutafuna wengine tulipoteza Baba zetu! Wamejiimarisha kwa kitu gani? unamiini propaganda za Wanyarwanda, hizo nchi zina conflict kubwa sana ndani ya nchi zao wakianzisha vita itawamaliza wenyewe! kumbuka kuna Wanyarwanda majoriy bado wanagandamizwa na Museveni ametawala nchi sasa Miaka 40 unadhania hizo nchi kuna umoja wakupambana na adui? hata kama Tz tunashida ndani lakini hatujawafikia hao jamaa. Tembea uishi kwao kwa katika muda nchi hizo halafu utajua kwamba ni mabom yanayofukuta! Kiufupi Vita siyo nzuri
Vita sio nzuri..lkn wenye nchi wanasema ipo mlangoni..
 
Migogoro ya mipaka Uganda mara ya mwisho tuliimaliza kwa vita, Waganda wakumbuke hilo pia.

Umemsikia Mama anasema hataki mchezo wa kuingiliwaingiliwa ovyo na watu wa nje?

We unaona akili zinamtosha yule?

Na akitoka yule tuna tumaini lolote?

On a serious note, mgogoro wa mpaka wa Malawi ni mkubwa kuliko huu, hii ni taharuki tu.
Usiji hakikishie asilimia 100 kuhusu migogoro ya kimipaka muda wowote inaweza kuripuka Inategemeana na kichaa aliyepo madarakani.
 
Juzi tu hapa tumechakazwa na wanamgambo M23
Na jana hapa kwenye usalama wa mitandaoni kama Taifa wamevuliwa nguo,

Kama hawako vizuri kwenye eneo dogo la usalama wa mitandaoni je kwenye usalama wa kitaifa kuko salama kiasi gani?
 
Kama hujui hujui tu. Nani kaleta stori za Vita vya Kagera? Nakushauri dogo, kuwa na simu janja na kuweka bando hakukufanyi ujue masula hasa ya kimataifa. Weka hiyo kichwani dogo!
Acha ujinga..taarifa inatolewa na Waziri mwenye dhamana bungeni kwamba kuna tishio la mgogoro wa mpaka kati ya Uganda na Tanzania..Unataka usikilizwe ww mwenye kamasi zako puani.
 
Na jana hapa kwenye usalama wa mitandaoni kama Taifa wamevuliwa nguo,

Kama hawako vizuri kwenye eneo dogo la usalama wa mitandaoni je kwenye usalama wa kitaifa kuko salama kiasi gani?
Mtapigwa mkome msije mkachokoza ugomvi
 
mtoto wa M7 iko siku akishika power atalianzisha kama anavotamani kulianzisha Congo....Maana amekuwa na chokochoko muda mrefu kuhusu nchi zinazoizunguka uganda
 
Watu wajinga kama ww ndo mtaji wa ccmu
Wewe tatizo lako una ulimbukeni wa kuchukulia kila kitu serious kila dakika.

Ndiyo maana huelewi hata muktadha wa mzaha unalazimisha mambo serious kika wakati.

CCM mimi nishajitoa kwenye makucha yao nipo katika chumi za dunia huku usinichukulie poa kwa sababu tunakutana JF hapa.
 
Ninacho ogopa mm acje chukua ndondo kwa mr.slim.
Tutachakazwa MNO.
 

Attachments

  • Screenshot_20250520-135223.png
    Screenshot_20250520-135223.png
    520.5 KB · Views: 15
Utaishia kufokafoka tu km rapa fulani huna cha kufanya
Tanzania kama nchi tutafanya kitu lazima tukomeshe vuguvugu hili linaloikumba nchi yetu,tuna wanadiplomasia wazuri wasuluhishi wa migogoro na naimani itaisha kwa amani
 
Back
Top Bottom