Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

sisi tuna zipi mzee? mambo haya ya silaha za kivita bado siyajui. Walizonazo uganda ni za mwaka gani na sisi zetu za mwaka gan?
Dah. Kuringanisha hizo za Uganda na hizi zetu ni mbingu na ardhi. Pia elewa sisi zetu tulipewa kwa msaada. Uganda hizo Sukhoi wanazo recently. Ndege za kizazi cha 5 kama sikosei. Sisi tupo cha 2 tumezidi cha 3.
 
hapana,ukimya si ishara ya kushindwa bali ni ishara ya busara,hekima na intelijensia kubwa,bado ni vuguvugu ila wakijitokeza kwa namna yeyote hasa vikwazo na vita tutawajibu papo hapo. Tanzania si kiringe cha kahawa kusikia jambo tayari unalipuka,lazima utafakari,na uje na majibu sahihi. TANZANIA NI NCHI YENYE ULINZI IMARA SANA.
Sasa km ni hivyo mnafokafoka nini mnataka kutoa rap-song?
 
Tuombe tusiingie vitani maana vijana wa sasa uzalendo umepungua tofauti na kipindi cha mzee Mchonga ambapo baadhi ya vijana walipewa mafunzo ya muda mfupi kwenda kuipambania nchi yao.
Vijana wasasa nguvu wamewekeza katika kubeti na bodaboda...suala la vita wataasema waende makamanda wa youth Wing na wale migambo wanaotunisha misuli kupora wamama masufuria ya ubwabwa kariakoo.

Tuombe Mungu tusiingie vitani na mazungumzo yafikie muafaka maridhawa. Maana vijana wa sasa uzalendo upo kwenye kubeti na bodaboda.
Kipindi cha mchonga vijana walipewa mafunzo ya muda mfupi na kuingia vitani ila kwasasa sioni uzalendo wa kipindi kile keki inaliwa kifamilia.
Vijana waache kunywa supu ya Pweza..Riverside wakapigane vita..!?
 
Migogoro ya mipaka Uganda mara ya mwisho tuliimaliza kwa vita, Waganda wakumbuke hilo pia.

Umemsikia Mama anasema hataki mchezo wa kuingiliwaingiliwa ovyo na watu wa nje?

We unaona akili zinamtosha yule?

Na akitoka yule tuna tumaini lolote?

On a serious note, mgogoro wa mpaka wa Malawi ni mkubwa kuliko huu, hii ni taharuki tu.
In short, Kagera wananchi walijitolea sana.

Kila kitu mpaka kwenda kupigana.

Ikitokea vita yoyoye kwasasa ,UVCCM na mafisadi wataenda wenyewe.

Ndio wazalendo kuliko kila mtu nchi hii
 
Kuna neno "kama ". Compared to. Umeliruka kwenye tafakari zako. Nimeliandika. Kasome maelezo vizuri
Yah sehemu ya Ardhi ya sovereign state sio muhimu..!?..unamaanisha nn mkuu.!
 
In short, Kagera wananchi walijitolea sana.

Kila kitu mpaka kwenda kupigana.

Ikitokea vita yoyoye kwasasa ,UVCCM na mafisadi wataenda wenyewe.

Ndio wazalendo kuliko kila mtu nchi hii
Sasa utagoma kulinda mipaka ya nchi mpaka wapi?

Mpaka vita ifike uani kwako?
 
Dah. Kuringanisha hizo za Uganda na hizi zetu ni mbingu na ardhi. Pia elewa sisi zetu tulipewa kwa msaada. Uganda hizo Sukhoi wanazo recently. Ndege za kizazi cha 5 kama sikosei. Sisi tupo cha 2 tumezidi cha 3.
kwahiyo na sisi tunazo sukhoi ila ni outdated?
 
Mwaka huu sinema zitakuwa nyingi Sana za kuhamisha magoli.
Watanzania watahamishiwa kutoka kwenye no reforms no election Hadi kwenye vita vya Uganda, Kwa watu wenye Akili nyingi tunajua hizi ni propaganda za kishamba tu
Check wanajeshi wa JWTZ wanavyodhalilishwa huko Rwanda👇👇

Jeshi la TZ linajuaga kupigana na raia tu wasio hata na wembe.
 
Wapiganaji hawawezi kuwa na shida na mimi ambaye siyo tishio kwao.
Hujajibi swali langu.

Ukigoma kuulinda mpaka wa nchi huko Kagera wavamizi wakisema nchi hii haina ulinzi tuendelee tu kuvamia, utaanza kuilinda ardhi yako wapi?

Utasubiri mpaka wafike nyumbani kwako?
 
Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.

Andiko

https://ijasrm.com
PDF
Fifty years of the Tanzania-Uganda 1° 00´S terrestrial border peace ...

by SR Kamazima · Cited by 1 — To settle this dispute, the two powers agreed to establish a British- led joint commission to physically..

Fifty years of the Tanzania-Uganda 1° 00´S
terrestrial border peace mediation: an
insider-outsider’s perspective

Switbert R. Kamazima
Behavioral Sciences Department, School of Public Health and Social Sciences,
Muhimbili University of Health and Allied Sciences,
P. O. Box 65015, Dar-es-Salaam, Tanzania.

Abstract
Findings from qualitative studies conducted in the
Tanzania-Uganda borderlands showed intertwined
factors sustain the Tanzania-Uganda border dispute
that started in the early 1970s.

The establishment of
the African Union Border Program and availability of
technical and financial support from development
partners have facilitated delimitation and demarcation
of many African borders.

The Mission is “The
prevention and resolution of border-related disputes
and the promotion of regional and continental
integration, which constitutes a tool in the structural
prevention of conflicts in Africa.”

I demonstrate and
argue delimitation and demarcation of African
borders that ignore borderlanders’ history, voices,
needs, fears, expectations, capacities, initiatives and
potentials are important but insufficient eliminating
border hostilities in Africa.

I conclude governments’
failure to abide to Pan Africanism and Mogadishu
Agreement,
political instabilities in Uganda after the
Liberation War, disagreements on some border
issues, lack of funds to meet survey costs, poor
technology, limited political will, reliance on foreign
intervention and difficulty accessing colonial
territorial maps, agreements and treaties are drugging
border dispute mediation.

I recommend further multi-
disciplinary research to capture the intended and
unexpected consequences of delimiting and
demarcating borders in contemporary Africa.
Keywords: Tanzania-Uganda border, border peace
mediation, qualitative study, Tanzania.


1. Introduction
Border disputes are situations where “two or more
governments do not agree on the location of the
border between their territories” (Wikipedia.org,
2018) and are as old as border history. Some scholars
and policymakers informed by border theories rather
than borderlands theories, regard borders “common
sources of political instability and military conflict
around the globe, both in the present day and
throughout history” (Brunet–Jailly, 2015). Since the
inception of nation-state borders in Africa, there have
been numerous cases of disputes between and among
colonial powers and independent nation states.

In East Africa, for example, in the struggle to stop the
British from ‘trespassing’ into Tanganyika, the
Germans established a military post near Kakuto
(about 15 km [9 miles] north of the 1°00´S (Gray,
1960; McEwen, 1971).

The British government
inferred German’s assault as a military invasion of
the British Empire in East Africa. To settle this
dispute, the two powers agreed to establish a British-
led joint commission to physically demarcate the
border between 1902 and 1904 (Gray, 1960;
McEwen, 1971; Delmée-Radcliffe, 1905; Rodgers,
2001).

Over the past 53 years, at least each independent
African state has had a border dispute with its
neighbors (Okumu, 2010). Some disputes have been
resolved, pending or resurfaced (the Tanzania-
Malawi dispute, 1967); some have been resolved
between/among involved states, at the regional level
or at the International Court of Justice (ICJ) in The
Hague (the Cameroon-Nigeria Bakassi peninsular...
 
Museveni mtu wetu tumemuhifadhi Upanga pale Mindu na Maliki anadaiwa bill za umeme na simu hajalipa mpaka leo na kakimbia mpaka bili ya taxi. Madereva wa Taxi wa zamani wa Muhimbili walikuwa wanamtafuta awalipe kawakimbia, hajamaliza madeni yetu, hakuna mgogoro hapo.
Ujerumani ilimrudisha Vladimir Lenin Russia ili afanye destabilization, Lenin akafa Stalin akawepo madarakani akapigana na Ujerumani. Hiyo ilikuwa within 24 years.

Museveni kaondoka Tanzania miaka 47 iliyopita. Sera ya Uganda imebadilika na Museveni akiondoka kutakuwepo mabadiliko makubwa sana.
 
Museveni mtu wetu tumemuhifadhi Upanga pale Mindu na Maliki anadaiwa bill za umeme na simu hajalipa mpaka leo na kakimbia mpaka bili ya taxi. Madereva wa Taxi wa zamani wa Muhimbili walikuwa wanamtafuta awalipe kawakimbia, hajamaliza madeni yetu, hakuna mgogoro hapo.
Kumuhifadhi Sio Issue Mkuu, Hata Kagame amepikwa hapa Muda tu kabla ya Kwenda Huko uganda n Kuwa Mkuu wa Intelligence ya Jeshi la Uganda, Kabila JR pia was here

Ivo bado havi guarantee loyalty yao na sisi
Kama Kabila Junior ameweza Kuwa Nje for a while na sasa amerejea Congo na Kuleta Tension nini hapa apa ambapo amekuwa for short time?

Hakuna adui wala Rafiki wa kudumu yapo masilahi ya kudumu tu
 
Back
Top Bottom