Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Ujerumani ilimrudisha Vladimir Lenin Russia ili afanye destabilization, Lenin akafa Stalin akawepo madarakani akapigana na Ujerumani. Hiyo ilikuwa within 24 years.

Museveni kaondoka Tanzania miaka 47 iliyopita. Sera ya Uganda imebadilika na Museveni akiondoka kutakuwepo mabadiliko makubwa sana.
Nakwambia hivii. Kama kuna mgogoro wa mpaka wa kuzingatiwa ni wa kati ya Tanzania na Malawi.

Haya mambo mengine ni ya watu wa wizara ya ulinzi ku justify bajeti zao tu.

Huo mgogoro wa mpaka umeandikwa wapi kwenye machapisho ya kinataifa mpaka sasa hivi? Nani anaufuatilia kwa karibu?
 
Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.

Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.

Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.

Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Source: The Chanzo
Nchi zote hapa Afrika Mashariki Zina migogoro ya mipaka
 
Hujajibi swali langu.

Ukigoma kuulinda mpaka wa nchi huko Kagera wavamizi wakisema nchi hii haina ulinzi tuendelee tu kuvamia, utaanza kuilinda ardhi yako wapi?

Utasubiri mpaka wafike nyumbani kwako?
Siwezi kulinda.

Tangu lini nchi zilizivamiwa, walienda nyumbani kwa watu??
 
Kumuhifadhi Sio Issue Mkuu, Hata Kagame amepikwa hapa Muda tu kabla ya Kwenda Huko uganda n Kuwa Mkuu wa Intelligence ya Jeshi la Uganda, Kabila JR pia was here

Ivo bado havi guarantee loyalty yao na sisi
Kama Kabila Junior ameweza Kuwa Nje for a while na sasa amerejea Congo na Kuleta Tension nini hapa apa ambapo amekuwa for short time?

Hakuna adui wala Rafiki wa kudumu yapo masilahi ya kudumu tu
Hakuna mgogoro significant wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.

Kwa msingi huu hata mtoto wa Museveni siku akikewa na kuandika kitu Facebook mnaweza kusema kuna mgogoro na Uganda.

Watu wa Wizara ya Ulinzi nao wanatengeneza mazingira ya ku justify mamilioni ya US dollar yanayotumika kwenye bajeti ya ulinzi, unafikiri watakuambia kila kitu kiko shwari?
 
Ofcourse inaweza kuwa sahihi lakini, CAG Kwenye Ulinzi uko yupo very limited sidhani kama auditing za Kijeshi ziko open public ivo,
Mwaka huu Budget yao imeongezeka 10% Zaidi ya Financial year inayoisha wana roughly 3.3 Trillion zaidi ya Wizara ambazo issue zao ni tangible kama Nishati ambae ana 2.2T Trillion
 
Hoyo 10% ni kazima itengenezewe stiry za kuihalalisha, halafu hela anapewa Lugumi, halafu zinarudi kwenye uchaguzi.

Nyie mnapewa stories za mgogoro wa mpaka na Uganda ku justify matumizi ya kijeshi, mgogoro ambao haujulikani popote.

This is justification for exuberant military spending.
 
Huijui dunia wewe.
Hakuna popote nchi kwa nchi kuliganwe vita, eti watu waende nyumbani kwa mtu.

For what. Ili iwe nini?

Hata M23 wenyewe hawapigani na raia.

For what, why upigane na mtu ambaye utamhitaji au ambaye ni submissive??

Utakuwa ni upumbavu kama upumbavu wa JWTZ kupigana na raia wasio hata na wembe, lakini wakifika Rwanda wanawakagua mpaka chupi.

View attachment 3341282
Hiyo nchi ikipigwa ikatekwa ikawa chini ya watu wa nchi nyingine wakaichukua hiyo ardhi kama Russia alivyochukua pande la Ukraine utakaa kwa uhuru kama uko nchini mwako wewe?
 
Hiyo nchi ikipigwa ikatekwa ikawa chini ya watu wa nchi nyingine wakaichukua hiyo ardhi kama Russia alivyochukua pande la Ukraine utakaa kwa uhuru kama uko nchini mwako wewe?
Mimi ni raia wa kawaida.

Wala sitakosa uhuru, hata kwenye madaraka akiwepo shetani.

Hata sasa wapo CCM wanateka. Wanaua wanapiga vyuma kichwani watu.

Wewe hauko TZ watawala wa TZ, na CCM hawatawali uliko, huna shida ya usalama.

Hata wakija watawala wengine kutoka Uganda, as long as nawalipa kodi kutawala. Hawawezi kuwa na shida na mimi.
 
Mimi ni raia wa kawaida.

Wala sitakosa uhuru, hata kwenye madaraka akiwepo shetani.

Hata sasa wapo CCM wanateka. Wanaua wanaooga vyima kichwani watu.

Wewe hauko TZ watawala wa YZ, hawatali uliko, huna shida ya usalama.

Hata wakija watawala wengine kutoka Uganda, as long as nawalipa kodi kutawala. Hawawezi kuwa na shida na mimi.
Wewe huwezi kukosa uhuru kwa sababu hujui uhuru ni nini. Huwezi kukosa kitu usichokijua kabisaa.
 
Nakwambia hivii. Kama kuna mgogoro wa mpaka wa kuzingatiwa ni wa kati ya Tanzania na Malawi.

Haya mambo mengine ni ya watu wa wizara ya ulinzi ku justify bajeti zao tu.

Huo mgogoro wa mpaka umeandikwa wapi kwenye machapisho ya kinataifa mpaka sasa hivi? Nani anaufuatilia kwa karibu?
Kwani vita ili itokee ni lazima iandikwe kwenye machapisho mengi.
Kulikuwepo na machapisho ya mgogoro wa ardhi baina ya Tanzania na Uganda kabla ya vita ya Kagera?

Unachomaanisha ili vita itokee ni lazima watu wawe wanafuatilia, kusoma na kujadili wakati sio sahihi.
Kwako wewe unaona vita inaruhusiwa na machapisho na mijadala. Escalation inaweza anza ndani ya muda mfupi na ikaleta vita, ile mtu anaandaa madaftari yake kuchapisha tiyari vita imeanza.
 
Back
Top Bottom