- Thread starter
- #61
Walitushughulikia.Kwani M23 wanasemaje?
Walitushughulikia.Kwani M23 wanasemaje?
Wakidhani wapinzani ni tishio kwa usalama wa taifa kumbe wapinzani wako nje,Wako bize na wapinzani..
Ila ukitoka huko ukirudi huku unakua mwanachama Chawa Muandamizi wa CCM aka Lucas Mwashambwa Tlaatlaah chiembe ChoiceVariable au sio?Wewe tatizo lako una ulimbukeni wa kuchukulia kila kitu serious kila dakika.
Ndiyo maana huelewi hata muktadha wa mzaha unalazimisha mambo serious kika wakati.
CCM mimi nishajitoa kwenye makucha yao nipo katika chumi za dunia huku usinichukulie poa kwa sababu tunakutana JF hapa.
Tusijaribu kabisa..tuendelee tu kupambana na wakina HecheNinacho ogopa mm acje chukua ndondo kwa mr.slim.
Tutachakazwa MNO.
Hawezi kuendesha nchi huyo akipewa hata wanajeshi wenzake watampindua.Muhoozi ndo kashikilia kijiti kwa sasa tuwe macho..
Na inawezekana jaribio la Jana walikuwa wanatest tu mitambo..😂Wakidhani wapinzani ni tishio kwa usalama wa taifa kumbe wapinzani wako nje,
Wameshindwa kujiimarisha usalama wa mitandaoni, sembuse kwenye vita vya kiteknolojia,
Hivi Tanzania wana Submarine gapi?
Jana mmepigwa kitu na bado mnakoromewa mmefanya nini mnakula gepu ili mje kufokafoka tena? Mnataka kutoa Rap song?Tanzania kama nchi tutafanya kitu lazima tukomeshe vuguvugu hili linaloikumba nchi yetu,tuna wanadiplomasia wazuri wasuluhishi wa migogoro na naimani itaisha kwa amani
Labda huyo Muhozi, Museveni ana sentimental attachment na Tanzania kutufanyia fujo itakuwa tabu sana.Mkuu unafahamu Mao na wakomunisti wenzake waliungwa mkono na USSR katika vita vyao China ? Nini kilitokea baadae uhusiano kati ya China na USSR kisa mipaka mpaka kuvunjika ?
Museveni anaweza badilika muda wowote au hata Muhoozi
Hata issue ya kuhack accounts za mtandao kadhaa .Hakuna mgogoro huo. Madikteta wanatabia ya kuanzisha migogoro ya kitaifa ili ku shift focus na kuunganisha watu dhidi ya adui wa nje wakiwa na matumaini kuwa watu watamsahahu adui wa ndani.
The chanzo ?Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.
Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.
Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.
Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Source: The Chanzo
Usilete dharau nyakati zimebadirika ooh Simba ataifunga Rs Berkane nje ndani haya twende kitu 2-0 hawaamini macho yaoWatu wa Stanza chini ya ccm walichenzea kichapo hadi uvccm fulani akafanyiwa upekuzi huko mbele ya Camera na akarudishwa kupitia Rwanda 😂😂
Huu mgogoro si mkubwa hivyo, ndiyo maana hata kwenye habari kuutafuta kuupata unaongelewa ni kazi.Usiji hakikishie asilimia 100 kuhusu migogoro ya kimipaka muda wowote inaweza kuripuka Inategemeana na kichaa aliyepo madarakani.
Wamezima mjadala au ndo umesambaa!?..Hiyo ni akili au matope..!?Hata issue ya kuhack accounts za mtandao kadhaa .
Ni serikali yenyewe imeamua kufanya hivyo kuzima mjadala wa Lisu
Kituo kinachofuata mifumo ya ndani kaeni kwa kutulia humo ndimo mnamopitishia hela zenu za malipo ya Serikali jamaa wakichekecha tu kwisha habariInaonekana watu walishandukua muda mrefu kimya kimya, huwa wanaingia na kutoka kimya kimya na yawezekana nyaraka huwa wanaomba,
Shame on you
Sio Bongo mkuu..huku bongo watu wapo bize na Yanga na Simba, mama.. mama... Kila sehemuHuu mgogoro si mkubwa hivyo, ndiyo maana hata kwenye habari kuutafuta kuuoata unaongelewa ni kazi.
Mgogoro wa Malawi uko all over the net mpaka wanazuoni wameuandikia machapisho.
hapana,ukimya si ishara ya kushindwa bali ni ishara ya busara,hekima na intelijensia kubwa,bado ni vuguvugu ila wakijitokeza kwa namna yeyote hasa vikwazo na vita tutawajibu papo hapo. Tanzania si kiringe cha kahawa kusikia jambo tayari unalipuka,lazima utafakari,na uje na majibu sahihi. TANZANIA NI NCHI YENYE ULINZI IMARA SANA.Jana mmepigwa kitu na bado mnakoromewa mmefanya nini mnakula gepu ili mje kufokafoka tena? Mnataka kutoa Rap song?
Tuombe tusiingie vitani maana vijana wa sasa uzalendo umepungua tofauti na kipindi cha mzee Mchonga ambapo baadhi ya vijana walipewa mafunzo ya muda mfupi kwenda kuipambania nchi yao.Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.
Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.
Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.
Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Source: The Chanzo
Tuombe Mungu tusiingie vitani na mazungumzo yafikie muafaka maridhawa. Maana vijana wa sasa uzalendo upo kwenye kubeti na bodaboda.Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.
Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.
Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.
Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Source: The Chanzo
Muhozi anatafuta wa kuchapana nae kule Kenya kajaribu kashindwa kahamia huku wanakofokafoka aone vipi atapata mwanya wa kurusha makondeHuu mgogoro si mkubwa hivyo, ndiyo maana hata kwenye habari kuutafuta kuuoata unaongelewa ni kazi.
Mgogoro wa Malawi uko all over the net mpaka wanazuoni wameuandikia machapisho.
Mkuu..Kesi ya uhain inakuhusu...Safari hii kikiitika mimi nitakuwa upande wa kuitetea Uganda.
Sijui kwanini haswa, lakini nafsi yangu inanituma hivyo tena nikiwa na amani na furaha.