Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Museveni mtu wetu tumemuhifadhi Upanga pale Mindu na Maliki anadaiwa bill za umeme na simu hajalipa mpaka leo na kakimbia mpaka bili ya taxi. Madereva wa Taxi wa zamani wa Muhimbili walikuwa wanamtafuta awalipe kawakimbia, hajamaliza madeni yetu, hakuna mgogoro hapo.
Muhoozi ndo kashikilia kijiti kwa sasa tuwe macho..
 
Mwaka huu sinema zitakuwa nyingi Sana za kuhamisha magoli.
Watanzania watahamishiwa kutoka kwenye no reforms no election Hadi kwenye vita vya Uganda, Kwa watu wenye Akili nyingi tunajua hizi ni propaganda za kishamba tu
 
Brother miaka imepita na itaoita so and watawala. So kusema museven yupo doesnt guarantee chaose wont broke
God forbid ikitokea we wont be ready
We not ready at the moment..ni weupe kama karatasi
 
Na hicho kisehemu wanachokidai ninaamini hakina umuhimu kama tunayoidai dhidi ya Malawi
Yah sehemu ya Ardhi ya sovereign state sio muhimu..!?..unamaanisha nn mkuu.!?
 
Hili jambo nimekuwa namashaka nalo sana na yule dogo akiingia madarakani ndio patakuwa balaa ujue uganda na rwamda mda mrefu wamekuwa wakijiimarisha sana sisi ni siasa tu jeshi linazindua mradi wa kokoto
Unadhania Uganda wao ndiyo hawana siasa jeshini? endelea kujindanganya jambo usilolijua bora ukae kimya tu! hata hivyo vita siyo sifa ni uharibifu na kutafuta umaskini tu! vita ya kagera mpaka leo madhara yake yanatutafuna wengine tulipoteza Baba zetu! Wamejiimarisha kwa kitu gani? unamiini propaganda za Wanyarwanda, hizo nchi zina conflict kubwa sana ndani ya nchi zao wakianzisha vita itawamaliza wenyewe! kumbuka kuna Wanyarwanda majoriy bado wanagandamizwa na Museveni ametawala nchi sasa Miaka 40 unadhania hizo nchi kuna umoja wakupambana na adui? hata kama Tz tunashida ndani lakini hatujawafikia hao jamaa. Tembea uishi kwao kwa katika muda nchi hizo halafu utajua kwamba ni mabom yanayofukuta! Kiufupi Vita siyo nzuri
 
Migogoro ya mipaka Uganda mara ya mwisho tuliimaliza kwa vita, Waganda wakumbuke hilo pia.

Umemsikia Mama anasema hataki mchezo wa kuingiliwaingiliwa ovyo na watu wa nje?

We unaona akili zinamtosha yule?

Na akitoka yule tuna tumaini lolote?

On a serious note, mgogoro wa mpaka wa Malawi ni mkubwa kuliko huu, hii ni taharuki tu.
Lkn hiyo ni taarifa ya Serikali..tupe taarifa rasmi ya Serikali kuhusiana na mgogoro wa Malawi.(Kama ipo)
 
Back
Top Bottom