Kumfanyia interview mwalimu ni kumsumbua na kumpotezea muda tu, ni urasimu

Unatka utaratbu upi utumike. Mko laki 2 naffasi 10000
 
Milio ni mingi kweli kweli. 😎

Hakuna namna. Nafasi ni chache, wahitaji ni wengine na the only fair solution ni kufanyisha usaili ili kuwachuja wengi wapatikane wachache based on merits and talent.​
 
Acha woga Mwalimu. Subiri panga linolewe.
 
Waombaji ni wengi sana unazani watumie mbinu gani kupata walimu bora ikiwa kila mtu ana sifa inayofanana na mwenzake? acheni woga kwa sasa hakuna mbeleko nendeni mkajipange na usaili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…