Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Hahahhahah mikando iendelee uzuri wa jf kila mtu ni engineerTulia kabisa hivyohivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhahah mikando iendelee uzuri wa jf kila mtu ni engineerTulia kabisa hivyohivyo.
Engineer mwingine huyu hapa nipe kitengo mkuu hata cha kufagia ofisiNdio maana mnabiwa hamuajiriki kimataifa. Tulia ukachomwe sindano
Kama ulikariri hata kama ulimaliza mwaka jana utagongwa tuu. Wewe una jua ni maswali
gani utaulizwa. ? Acha kutapa tapa🤣🤣
Wewe una elimu ya kukariri hatutawezanaEngineer mwingine huyu hapa nipe kitengo mkuu hata cha kufagia ofisi
Siwezi ingia mabishano na mwana jf ukiwa nyuma ya keyboard uhalisia ni mchache sana ila kama ni muelewa utajua kwanini wizara ya elimu inafanya juu chini kubadili mtaala japo bado wanazunguuka mulemuleWewe una elimu ya kukariri hatutawezana
Mpaka leo naweza kuzi state na naelewa application zake sikukariri tuu nilielewa ndio maanaSiwezi ingia mabishano na mwana jf ukiwa nyuma ya keyboard uhalisia ni mchache sana ila kama ni muelewa utajua kwanini wizara ya elimu inafanya juu chini kubadili mtaala japo bado wanazunguuka mulemule
Ungetoboaje form4 bila kukariri law of motion, equilibrium, structure of the leaf nk mkuu hebu kuwa serious
You gpa and reputable university haikupi uhalali wa kupata pisition, hiyo ni elimu tu umepata , interview iko pale kuhakikisha if you are qualified ku apply ulichokisoma fieldHaimek sense, mtu kagraduate from a reputable university na gpa kali unakuja kumfanyia interview unamuhoji nini?
Pole sana, la si hivyo kila anaetoka chuo angekuwa ameshaajiriwa. Interview iko pale kupata mtu anaeweza ku apply hiyo knowledge kaziniYani mtu kafanya ue 6 aogope interview? Interview ni mradi wa watu ule ogopa matapeli
😂😂😂😂✍️✍️Mwalimu acha uoga utafanyiwa usaili. Upende usipende.
Mbona walimu mmeanza kujitetea mapema sanaYani ukinambia unawafanyia interview walimu ndo uwaajiri binafsi naona haijakaa sawa.
MWALIMU siyo sawa na mtu wa kada zingine kama afya, tra, procurement na kada zingine.
MWALIMU anakaa na mwanafunzi mwaka mzima, dokta anakaa na mgonjwa mpka either afe au apone.
Point yangu ya msingi ni kwamba MWALIMU ananafasi nyingi ambazo anaweza kuzitumia kujifanyia tathimini na kumfanyia tathimini mwanafunzi wake na mwisho wa siku akamjenga na kumuandaa na akafaulu katika mtihani wa mwisho na akatoka na elimu yenye ubora mzuri.
Waajiriwa katika kada nyingjne hawana au wananafasi chache sana katika kujifanyia tathimini na kujipanga upya ili kuleta matokeo mazuri zaidi.
Mtu wa afya akifanya uzembe mgonjwa kaded hana nafasi ya kurekebisha na kuurudisha uhai wa aliyekufa. Hali kadhalika kada nyingine hakuna chances za kurekebisha ukiharibu umeharibu.
Mimi naona hakuna haja ya interview kwa walimu.
Dawa ni moja tu,kwa lugha kubwa Africa kama kiswahili ni lazima tusome kwa kiswahili ndipo tufanikiweSiwezi ingia mabishano na mwana jf ukiwa nyuma ya keyboard uhalisia ni mchache sana ila kama ni muelewa utajua kwanini wizara ya elimu inafanya juu chini kubadili mtaala japo bado wanazunguuka mulemule
Ungetoboaje form4 bila kukariri law of motion, equilibrium, structure of the leaf nk mkuu hebu kuwa serious
Hujaelewa umekariri ndio maana unazistate kama zilivyo bila kupunguza hata neno maana ukipunguza hiyo utakuwa umetunga yakwakoMpaka leo naweza kuzi state na naelewa application zake sikukariri tuu nilielewa ndio maana
Mpaka leo nakupumbuka na naweza kueleza application yake.
Mwandiko wa Generation z(2000)Kuna wahitimu wawili wanaandika eti axante,xawa aseee,niliwaona hamnazo.
Mtaala unatakiwa ufumuliwe upya sema changamoto ni nyingi ikiwepo uchumi wa nchi na uwiano wa elimu kimataifa maana huwezi fundisha vitu vya taifa lako tu bila kuhusiana na mataifa mengineDawa ni moja tu,kwa lugha kubwa Africa kama kiswahili ni lazima tusome kwa kiswahili ndipo tufanikiwe
Kweli kabisa,Mtaala unatakiwa ufumuliwe upya sema changamoto ni nyingi ikiwepo uchumi wa nchi na uwiano wa elimu kimataifa maana huwezi fundisha vitu vya taifa lako tu bila kuhusiana na mataifa mengine
Watu humu wanaleta ushabiki kama wa simba na yanga hawaongei uhalisia
Ahaaa unakwepa interview ee. Bado hujasemaYani ukinambia unawafanyia interview walimu ndo uwaajiri binafsi naona haijakaa sawa.
MWALIMU siyo sawa na mtu wa kada zingine kama afya, tra, procurement na kada zingine.
MWALIMU anakaa na mwanafunzi mwaka mzima, dokta anakaa na mgonjwa mpka either afe au apone.
Point yangu ya msingi ni kwamba MWALIMU ananafasi nyingi ambazo anaweza kuzitumia kujifanyia tathimini na kumfanyia tathimini mwanafunzi wake na mwisho wa siku akamjenga na kumuandaa na akafaulu katika mtihani wa mwisho na akatoka na elimu yenye ubora mzuri.
Waajiriwa katika kada nyingjne hawana au wananafasi chache sana katika kujifanyia tathimini na kujipanga upya ili kuleta matokeo mazuri zaidi.
Mtu wa afya akifanya uzembe mgonjwa kaded hana nafasi ya kurekebisha na kuurudisha uhai wa aliyekufa. Hali kadhalika kada nyingine hakuna chances za kurekebisha ukiharibu umeharibu.
Mimi naona hakuna haja ya interview kwa walimu.
Wewe fanya rationalization ila interview iko pale pale, wewe kaoneshe huo uwezo wako waHujaelewa umekariri ndio maana unazistate kama zilivyo bila kupunguza hata neno maana ukipunguza hiyo utakuwa umetunga yakwako
Kwa waliosoma masomo ya science ni mabingwa wa kukariri ndio maana wamefaulu wavivu wa kukariri ndio waliochukua arts ambayo kuna uwanja mpana wa kuelewa na kujielezea(essey questions) utabisha ila ndio uhalisia huo wa elimu yetu
Essey questions ni aina gani ya maswali ?Hujaelewa umekariri ndio maana unazistate kama zilivyo bila kupunguza hata neno maana ukipunguza hiyo utakuwa umetunga yakwako