Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kwa tafsiri hii basi hakuna graduate yoyote anatakiwa kufanyiwa interviewHaimek sense, mtu kagraduate from a reputable university na gpa kali unakuja kumfanyia interview unamuhoji nini?
But utakua huelewi nini maana ya interview na kwa nini inakuwepo.
Wewe hujiulizi kwa nini Kuna professional boards, si ingekua ukigraduate tu umemaliza kila kitu