Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kwa tafsiri hii basi hakuna graduate yoyote anatakiwa kufanyiwa interviewHaimek sense, mtu kagraduate from a reputable university na gpa kali unakuja kumfanyia interview unamuhoji nini?
Madereva wanafanyiwa interview, walinzi wanafanyiwa interview sasa unashangaa vipi mwalimu sababu ana mshahara mdogo?Is about shit
Mshahara mdogo with no allowance , then kazi iwe usumbufu
Tena wanaitwa wale waliopata GPA kubwa kubwa tu na bado wanapigishwa interview hadi 3 - written, practical na oralMbona walimu wa vyuo vikuu wanafanyiwa usahili na hawalalamiki?
Upo sahihi mkuu kitu kingine siku hizi ni wanafunzi wachache wanaofeli hii inamaanisha zao la walimu liko vizuri na ndio maana wanafunzi wanafauluYani ukinambia unawafanyia interview walimu ndo uwaajiri binafsi naona haijakaa sawa.
MWALIMU siyo sawa na mtu wa kada zingine kama afya, tra, procurement na kada zingine.
MWALIMU anakaa na mwanafunzi mwaka mzima, dokta anakaa na mgonjwa mpka either afe au apone.
Point yangu ya msingi ni kwamba MWALIMU ananafasi nyingi ambazo anaweza kuzitumia kujifanyia tathimini na kumfanyia tathimini mwanafunzi wake na mwisho wa siku akamjenga na kumuandaa na akafaulu katika mtihani wa mwisho na akatoka na elimu yenye ubora mzuri.
Waajiriwa katika kada nyingjne hawana au wananafasi chache sana katika kujifanyia tathimini na kujipanga upya ili kuleta matokeo mazuri zaidi.
Mtu wa afya akifanya uzembe mgonjwa kaded hana nafasi ya kurekebisha na kuurudisha uhai wa aliyekufa. Hali kadhalika kada nyingine hakuna chances za kurekebisha ukiharibu umeharibu.
Mimi naona hakuna haja ya interview kwa walimu.
What is biology? What is history? What is bunsen burner? What is Archimedes Principle? What is Law of floatation?Haimek sense, mtu kagraduate from a reputable university na gpa kali unakuja kumfanyia interview unamuhoji nini?
Mwl inawezekana kabisa. Kikubwa ni wewe kujiandaa kimwili na kisaikolojia.Kituo kimoja wanafanyiwa usaili waombaji 600, inawezekanaje hii jamani, au ni kuandaa mazingira ya upigaji?
Ahhh umenikumbusha mbali sana kiongozi, mwaka fulani vijana wanapigishwa usaili kwa kazi fulani, kuna vijana machachari kutoka vyuo pendwa na vyenye hadhi iliyotukuka hapa nchini , na kumbe miongoni mwa wale vijana kuna mnyonge mmoja kutoka chuo fulani nadhani kile cha Mwanakondoo Ameshinda tumfuate cha Nyanda Juu Kusini,,,hakuna aliye amini tulicho kiona, dogo wa chuo dhaifu aliwaburuta wajanja wa vyuo vya mjini hadi aibu. Tangia siku hiyo pale kituoni mtu hawezi kuajiriwa kwa chuo au GPA bali kwa uwezo wake.Reputable University GPA kali alafu unaogopa interview.? Nenda
Kafanye uone vyuo unavyo vidharau na wenye pass watakavyo
Kuacha mbali na GPA yako ya kukariri.
Ndio ukweli mkuu hii waajiri wengi walisha ishtukia, chuo sio hoja sanaAhhh umenikumbusha mbali sana kiongozi, mwaka fulani vijana wanapigishwa usaili kwa kazi fulani, kuna vijana machachari kutoka vyuo pendwa na vyenye hadhi iliyotukuka hapa nchini , na kumbe miongoni mwa wale vijana kuna mnyonge mmoja kutoka chuo fulani nadhani kile cha Mwanakondoo Ameshinda tumfuate cha Nyanda Juu Kusini,,,hakuna aliye amini tulicho kiona, dogo wa chuo dhaifu aliwaburuta wajanja wa vyuo vya mjini hadi aibu. Tangia siku hiyo pale kituoni mtu hawezi kuajiriwa kwa chuo au GPA bali kwa uwezo wake.
Huwa wanafanyiwa mpaka watu Elfu 20 kituo kimoja acha kulalamika chief.Kituo kimoja wanafanyiwa usaili waombaji 600, inawezekanaje hii jamani, au ni kuandaa mazingira ya upigaji?
Mkuu mfumo wetu wa elimu ni wa kukariri inafika kipindi ukimfundisha mwanafunzi ili afaulu lazima umjenge uwezo wa kukariri kwani maswali yanayoulizwa kwenye final assessment ni memory based qzNdio ukweli mkuu hii waajiri wengi walisha ishtukia, chuo sio hoja sana
inategemea na jitihada za mwanafunzi husika. Pia GPA sio kigezo kwani
Kuna watu wanasoma kwa kukariri ila mwisho wa siku anasahau na
marifaa hana japo ana GPA kubwa ndio maana Interview ndio
itakayo amua nani ana uwezo zaidi.
Waalimu wamekuja kwa style ya kuogopa interviewYani ukinambia unawafanyia interview walimu ndo uwaajiri binafsi naona haijakaa sawa.
MWALIMU siyo sawa na mtu wa kada zingine kama afya, tra, procurement na kada zingine.
MWALIMU anakaa na mwanafunzi mwaka mzima, dokta anakaa na mgonjwa mpka either afe au apone.
Point yangu ya msingi ni kwamba MWALIMU ananafasi nyingi ambazo anaweza kuzitumia kujifanyia tathimini na kumfanyia tathimini mwanafunzi wake na mwisho wa siku akamjenga na kumuandaa na akafaulu katika mtihani wa mwisho na akatoka na elimu yenye ubora mzuri.
Waajiriwa katika kada nyingjne hawana au wananafasi chache sana katika kujifanyia tathimini na kujipanga upya ili kuleta matokeo mazuri zaidi.
Mtu wa afya akifanya uzembe mgonjwa kaded hana nafasi ya kurekebisha na kuurudisha uhai wa aliyekufa. Hali kadhalika kada nyingine hakuna chances za kurekebisha ukiharibu umeharibu.
Mimi naona hakuna haja ya interview kwa walimu.
Na hapa ndiyo unaona kabisa walimu wetu walivyo . Mtu anaogopa usaili na taaluma ya elimu maana yake ni kusaili watu ili wawe wataalamu wa baadae. Mwalimu kiufupi ni msaili Sasa tunashangaa Hawa walimu kuiogopa kusailiwa.Usahili ni muhimu sana nilishawahi mara nyingi kuwa kwenye panel,yaani walimu wengine tulikuwa tunashangaa wamefaulu vipi vyuoni...
Tuliwahi kutafuta mwalimu wa hisabati kwa shule ya msingi darasa la tano hadi la saba kwenye huo usahili ilikuwa vichekesho vitupu.
Interview ni muhimu sana.Sema zisiwe zile za kimagumashi.Unakuta mwalimu hajui hata kutumia word au excel.Mwalimu hajui hata computer inawashwaje.Yani ukinambia unawafanyia interview walimu ndo uwaajiri binafsi naona haijakaa sawa.
MWALIMU siyo sawa na mtu wa kada zingine kama afya, tra, procurement na kada zingine.
MWALIMU anakaa na mwanafunzi mwaka mzima, dokta anakaa na mgonjwa mpka either afe au apone.
Point yangu ya msingi ni kwamba MWALIMU ananafasi nyingi ambazo anaweza kuzitumia kujifanyia tathimini na kumfanyia tathimini mwanafunzi wake na mwisho wa siku akamjenga na kumuandaa na akafaulu katika mtihani wa mwisho na akatoka na elimu yenye ubora mzuri.
Waajiriwa katika kada nyingjne hawana au wananafasi chache sana katika kujifanyia tathimini na kujipanga upya ili kuleta matokeo mazuri zaidi.
Mtu wa afya akifanya uzembe mgonjwa kaded hana nafasi ya kurekebisha na kuurudisha uhai wa aliyekufa. Hali kadhalika kada nyingine hakuna chances za kurekebisha ukiharibu umeharibu.
Mimi naona hakuna haja ya interview kwa walimu.
Tulia kabisa hivyohivyo.Mkuu mfumo wetu wa elimu ni wa kukariri inafika kipindi ukimfundisha mwanafunzi ili afaulu lazima umjenge uwezo wa kukariri kwani maswali yanayoulizwa kwenye final assessment ni memory based qz
Kwenye huu usaili wenye probability kubwa ya kupita ni wale waliomaliza juzi lakini kwa mtu aliemaliza 2014/15 ni ngumu labda awe amejishikiza kwenye taasisi binafsi za elimu ila
Ili uamini hata hao wanaotunga mitihani ya usaili bila marking scheme hawawezi kusahihisha hiyo mitihani maana wenyewe hawajui ngoja niishie hapo
Kama hajui asaidiwe vipi? Mtu una degree huwezi kuwasha computer halafu unataka umtumie Kodi zetu kukulipa mshahara?Interview ni muhimu sana.Sema zisiwe zile za kimagumashi.Unakuta mwalimu hajui hata kutumia word au excel.Mwalimu hajui hata computer inawashwaje.
Unakuta mwalumu ni kilaza artnya kufundisha hana,anasoma notes na kuzifafanua.
Ndio maana mnabiwa hamuajiriki kimataifa. Tulia ukachomwe sindanoMkuu mfumo wetu wa elimu ni wa kukariri inafika kipindi ukimfundisha mwanafunzi ili afaulu lazima umjenge uwezo wa kukariri kwani maswali yanayoulizwa kwenye final assessment ni memory based qz