Kumfanyia interview mwalimu ni kumsumbua na kumpotezea muda tu, ni urasimu

Ndio maana mnabiwa hamuajiriki kimataifa. Tulia ukachomwe sindano
Kama ulikariri hata kama ulimaliza mwaka jana utagongwa tuu. Wewe una jua ni maswali
gani utaulizwa. ? Acha kutapa tapa🤣🤣
Engineer mwingine huyu hapa nipe kitengo mkuu hata cha kufagia ofisi
 
Wewe una elimu ya kukariri hatutawezana
Siwezi ingia mabishano na mwana jf ukiwa nyuma ya keyboard uhalisia ni mchache sana ila kama ni muelewa utajua kwanini wizara ya elimu inafanya juu chini kubadili mtaala japo bado wanazunguuka mulemule

Ungetoboaje form4 bila kukariri law of motion, equilibrium, structure of the leaf nk mkuu hebu kuwa serious
 
Mpaka leo naweza kuzi state na naelewa application zake sikukariri tuu nilielewa ndio maana

Mpaka leo nakupumbuka na naweza kueleza application yake.
 
Haimek sense, mtu kagraduate from a reputable university na gpa kali unakuja kumfanyia interview unamuhoji nini?
You gpa and reputable university haikupi uhalali wa kupata pisition, hiyo ni elimu tu umepata , interview iko pale kuhakikisha if you are qualified ku apply ulichokisoma field

Ondoa hiyo mindsetbya gpa na chuo ulichosoma, miaka hii ya sasa havina uzito
 
Yani mtu kafanya ue 6 aogope interview? Interview ni mradi wa watu ule ogopa matapeli
Pole sana, la si hivyo kila anaetoka chuo angekuwa ameshaajiriwa. Interview iko pale kupata mtu anaeweza ku apply hiyo knowledge kazini

Haiko pale kwa ajili ya goa yako, wala uwezo wa kukariri

Maana wenyewe uwezo huo wako wengi , wewe si wa kwanza wala si wa mwisho. But anaweza ku apply hiyo knowledge ni wachache
So pambana ounguza malalamiko
 
Pole mwalimu kwa majukumu na povu,
Wapo wanaograduate vyuo bora vya biashara nje ya nchi na wakija hapa interview ni lazima,
Sasa kwanini mwalimu asifanyiwe interview wakati ni taaluma kama taaluma nyingine,
Ndio maana tuna waalimu wa hovyo sana wakati huu,
Na kipindi cha nyuma waalimu ulikuwa ni wito,mwalimu halali wanafunzi wanapofanya vibaya,,
Kizazi hiki ni biashara,tuition kila wakati na kusaidia wanafunzi kufaulu
INTERVIEW NI LAZIMA
 
Mbona walimu mmeanza kujitetea mapema sana
 
Dawa ni moja tu,kwa lugha kubwa Africa kama kiswahili ni lazima tusome kwa kiswahili ndipo tufanikiwe
 
Mpaka leo naweza kuzi state na naelewa application zake sikukariri tuu nilielewa ndio maana

Mpaka leo nakupumbuka na naweza kueleza application yake.
Hujaelewa umekariri ndio maana unazistate kama zilivyo bila kupunguza hata neno maana ukipunguza hiyo utakuwa umetunga yakwako

Kwa waliosoma masomo ya science ni mabingwa wa kukariri ndio maana wamefaulu wavivu wa kukariri ndio waliochukua arts ambayo kuna uwanja mpana wa kuelewa na kujielezea(essey questions) utabisha ila ndio uhalisia huo wa elimu yetu
 
Dawa ni moja tu,kwa lugha kubwa Africa kama kiswahili ni lazima tusome kwa kiswahili ndipo tufanikiwe
Mtaala unatakiwa ufumuliwe upya sema changamoto ni nyingi ikiwepo uchumi wa nchi na uwiano wa elimu kimataifa maana huwezi fundisha vitu vya taifa lako tu bila kuhusiana na mataifa mengine

Watu humu wanaleta ushabiki kama wa simba na yanga hawaongei uhalisia
 
Kweli kabisa,
Zaidi ya 90% ya wanafunzi hutokea kayumba,sasa ghafla unambadilishia lugha ya kusoma inakua kiingereza inapelekea mwanafunzi kutopenda shule ama afike form 4 ili na yeye awe amemaliza elimu ya sekondari, kitu ambacho lugha ingebaki kuwa kiswahili basi idadi ya waliyoingia form 1 basi asilimia 70 wangeingia form 5
 
Ahaaa unakwepa interview ee. Bado hujasema
 
Wewe fanya rationalization ila interview iko pale pale, wewe kaoneshe huo uwezo wako wa

Kukariri
 
Essey questions ni aina gani ya maswali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…