Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

Hao
wahasibu wamesoma miaka mitano?

Hivi unaujua mziki wa medical school?
Hujui kwanini zamani walikuwa wanaajiliwa moja kwa moja?

By the way mimi ninla saba B ninabobea kwenye uchawi nilichokifanya ni kuwasemea hawa watu tu mkuu

Nisamehe bure
 
Hao

wahasibu wamesoma miaka mitano?

Hivi unaujua mziki wa medical school?
Hujui kwanini zamani walikuwa wanaajiliwa moja kwa moja?

By the way mimi ninla saba B ninabobea kwenye uchawi nilichokifanya ni kuwasemea hawa watu tu mkuu

Nisamehe bure
Kaka in real world muda uliosoma si moja ya qualification, ww hata usome miaka 100, kama cheti ni kimoja ndio hiko hiko, ndio utakuwa judged nacho.

Huku mtaani time uliyosoma doesnt matter, is what ume acquire after that. No offence siwadharau but you guys are not the only one
 
Haijalishi amepata izo one nk. Lakini usaili ni muhimu sana kabla ya kupata kazi kwasababu vipo vitu vingi vinavyo angaliwa zaidi ya izo one na masomo
 
Walikua wanapita tu kizembe zamani sasa saivi mambo wameanza kuyaona magumu
 
Mtasema tu ,na bado hamjasema 😄😄😄😄.
Hizo one za saba unadhani ni madaktari tu ndio mlipata ?
Kuna Engineers na wahasibu wana one kali kuliko hizo wana leseni za kazi na ni jobless mpaka sasa na kila interviews wanahudhuria .
Ninyi mnajiona keki sana nchi hii
Ngoja muionje joto ya jiwe ili akili ziwwakae vizuri na kuelewa hili neno "Mass unemployment " ili mkisikia mtu anasema "Tanzania kuna mass unemployment " msimwone mpuuz
Afya na ualimu mnajiona special sana kwa nini ?
Why wengine wafanye usahili ninyi msifanye usahili ?
Au ninyi tu ndio mmefaulu olevel na Advanced level ?
Ni ninyi Tu ndio mmesoma chuo na kutoka na GPA kali ?
Ni nyinyi tu mlisajiliwa na bodi za taaluma na kuwa na leseni ?
Kwamba watu wa fani nyingine hawana hizi issues ?

Au ninyi mna kitu gani cha special sana kwamba muajiriwe kwa kuingizwa tu bila usahili ?
 
Wamezoea kupata kazi kwa rushwa na hongo za ngono huko tamisemi
 
Ina maana wakienda kuajiriwa private hospitals na huko shule binafsi huwa hawapigwi interviews ?
Haya majitu ni illiterate vibaya mno , yaani hoja zao ni mfu kabisa .
No Wonder hizi sekta zinasuasua sana kutokana na ukilaza wa watendaji wa ovyo kama hawa
 
Kuna watu hawachuji kwa kuangalia vyeti na historia ya umwpitia wapi, wanachuja kwa kuangakia attitude ya mtu.

Usiwanyime haki yao ya kuchuja wanavyotaka.
 
Hii mitihani ni kwa ajili ya kuweka fair ili kuepusha maneno kwamba kuna watu wanapata kazi kwa kupendelewa, Nafasi zingekua nyingi kusingekua na haja ya interview sasa watu ni wengi kuliko nafasi mfano nafisi zipo 50 halafu waombaji wapo 1000 hapo wewe utafanyaje ili iwe fair.
 
Interview sio kitu kibaya at all, tatizo interview za nchi hii ndio za udhalilishaji.

Niliuliza why wanashortlist candidate 100 kwa nafasi 2? eti policy za utumishi ni za kutoa nafasi kwa wote na blah blah.

Mnaweza vipi kuachieve effectiveness, accuracy, fairness kwenye mazingira kama hayo, eti watu wamekuja kwenye interview uwanja wa taifa, yaani kama mnada 😀

Mi naishi Dodoma, every now and then
napokea watu/madogo wanaenda kwenye interview UDOM mtu akirudi amepauka kama katoka kuvuna mahindi, unajiuliza WTF!

Kwa mazingira hayo, Mwisho watu hawawezi shindana kwa uwezo wanashindana kwa vimemo, huu ni udhalilishaji. Ndio maana tuna baadhi ya watumishi wa hovyo , Sorry not sorry .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…