Anthony horowitz
JF-Expert Member
- May 4, 2024
- 421
- 1,042
Ndo maana huenda rangi yako, ili confuse oblangata yake.Wa kiume, tena Mzungu wa Ujerumani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana huenda rangi yako, ili confuse oblangata yake.Wa kiume, tena Mzungu wa Ujerumani.
Sijajua kwanini hili swala la kufanyiwa interview linaibua mijadala ya namna hii kwasababu mtu huyo aliyesoma PCB na aliyesoma PCM wote walichakaa, yeye alisoma miaka mitano na mwenzie alisoma miaka minne kwahiyo kuchakaa wote walichakaa ila hii sio point ya msingi ya hii comment yangu ila nnachotaka kusema ni kwamba...Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
Acheni kulialia.. ndiyo Dunia ya sasa ipo hivyo... Kama umuhimu kila fani inaumuhimuJust imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
Huna unachojua ,Madokta ni wengi sana sikuhiziSasa serikali mna somesha madaktari kwa pesa nyingi, kumbuka hii kada Ina wapungufu wa waataalumu wa afya kila idara.
Doctor amethibitishwa na MCT. Lakini Tena kufanyiwa interview kwenye hospital ya wilaya TU, jamani.
Mimi na shauri interview wafanyiwe kwenye hospital kubwa ( mzena). kwa ajili ya kuwaandaa ma doctors bingwa TU.
Hivi tunavyo jadili tayari kimeshaumana huko kwenye interview.
Ma doctors tz ni wachache , wanatakiwa wote waajiriwe ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi wetu.
Tengeneza hizo surname ili watoto wako ama wajukuu zako waje wafurahieSema in our next life, tusi sahau kuomba kuzaliwa kwenye familia zenye surname nzito.
Moja ya dhumuni la interviews ni kuangalia utimamu wa akili pia.Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
Mi ninayo tayari, kwa sehemu yangu nashukuru Sana.Tengeneza hizo surname ili watoto wako ama wajukuu zako waje wafurahie
Chief, sipingi usaili ila naomba nikuswalike swaliNimekuelewa. Sasa kama kuna nafasi 20 na walioomba ni 200 na wote wanepitia huo mchakato. Unawachaguaje hao 20 kutoka 200?
Ubora. Njia yoyote ile as long ni transparent na inaleta fairness.Chief, sipingi usaili ila naomba nikuswalike swali
Hivi lengo la usaili ni kuchuja idadi au ubora?
Kama ni idadi vipi mtihani wakifaulu wote watatumia kigezo gani kingine kupata hao 20 out of 200
Kwahiyo kigezo cha idadi hakina mantiki hapo, kwamba eti kwakuwa wanaohitaji ajira ni wengi halafu nafasi ni chache hili halihusiani na interviewUbora. Njia yoyote ile as long ni transparent na inaleta fairness.
Swali gani la kijinga hivi.Chief, sipingi usaili ila naomba nikuswalike swali
Hivi lengo la usaili ni kuchuja idadi au ubora?
Kama ni idadi vipi mtihani wakifaulu wote watatumia kigezo gani kingine kupata hao 20 out of 200
Ukweliii mtupuuu.Interview sio kitu kibaya at all, tatizo interview za nchi hii ndio za udhalilishaji.
Niliuliza why wanashortlist candidate 100 kwa nafasi 2? eti policy za utumishi ni za kutoa nafasi kwa wote na blah blah.
Mnaweza vipi kuachieve effectiveness, accuracy, fairness kwenye mazingira kama hayo, eti watu wamekuja kwenye interview uwanja wa taifa, yaani kama mnada [emoji3]
Mi naishi Dodoma, every now and then
napokea watu/madogo wanaenda kwenye interview UDOM mtu akirudi amepauka kama katoka kuvuna mahindi, unajiuliza WTF!
Kwa mazingira hayo, Mwisho watu hawawezi shindana kwa uwezo wanashindana kwa vimemo, huu ni udhalilishaji. Ndio maana tuna baadhi ya watumishi wa hovyo , Sorry not sorry .
Nikweli ni swali la kijinga lakini ungejibu kwa welevuSwali gani la kijinga hivi.
Kwani wote wanapata 100% Utumishi wanapanga rank kulingana na ufaulu wa interview, wanaanza kuchukua toka juu ( highest mark) mpaka kufikia idadi inayotakiwa kulingana na nafasi wanaobaki wamefaulu lakini hawajapata nafasi kwa sababu ya competition wanaingia database, nafasi zikipatikana wanachukuliwa.
Nami nilipata nafasi kwa njia hii.
Mfumo wa Utumishi wa recruitment uko perfect, labda kama usipofuatwa inavyotakiwa.
Kwahiyo unataka watumie kigezo gani kutowaita wengine ambao wameomba na wanavigezo vya kupata hiyo kazi ?Interview sio kitu kibaya at all, tatizo interview za nchi hii ndio za udhalilishaji.
Niliuliza why wanashortlist candidate 100 kwa nafasi 2? eti policy za utumishi ni za kutoa nafasi kwa wote na blah blah.
Mnaweza vipi kuachieve effectiveness, accuracy, fairness kwenye mazingira kama hayo, eti watu wamekuja kwenye interview uwanja wa taifa, yaani kama mnada 😀
Mi naishi Dodoma, every now and then
napokea watu/madogo wanaenda kwenye interview UDOM mtu akirudi amepauka kama katoka kuvuna mahindi, unajiuliza WTF!
Kwa mazingira hayo, Mwisho watu hawawezi shindana kwa uwezo wanashindana kwa vimemo, huu ni udhalilishaji. Ndio maana tuna baadhi ya watumishi wa hovyo , Sorry not sorry .
Kuchuja idadi ili wapate idadi kulingana na nafasi zilizopo.Nikweli ni swali la kijinga lakini ungejibu kwa welevu
Kwahiyo lengo la usaili ni kuchuja ubora au idadi?
Kwahiyo sio ubora tena ni idadi?Kuchuja idadi ili wapate idadi kulingana na nafasi zilizopo.