Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Na vipi ikitokea kada ina watu wachache na uhitaji ni mkubwa hakutakuwa na umuhimu wa interview?Kuchuja idadi ili wapate idadi kulingana na nafasi zilizopo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vipi ikitokea kada ina watu wachache na uhitaji ni mkubwa hakutakuwa na umuhimu wa interview?Kuchuja idadi ili wapate idadi kulingana na nafasi zilizopo.
Kama ni wachache na wote ni proven kuwa wana vigezo vinavyo hitajika interview haina haja.Na vipi ikitokea kada ina watu wachache na uhitaji ni mkubwa hakutakuwa na umuhimu wa interview?
Mkuu hadi hapa sina swali kwako nimeridhika na hoja zakoKama ni wachache na wote ni proven kuwa wana vigezo vinavyo hitajika interview haina haja.
Nimeshasema hapo juu wanapanga rank in descending order from highest marks to lowest kwahiyo wanaendelea kuchukua kwa kushuka chini kwa kadri nafasi zinapopatikana, nasikia database ni valid kwa mwaka mmoja.Kwahiyo sio ubora tena ni idadi?
Sasa vipi wote wakiscore high marks watakaowekwa kwenye data base watatumia kigezo gani kuwaita kazini endapo nafasi ikitokea let's say nafasi moja?
Na kama lengo ni idadi tunakubaliana na mtoa mada kuwa ubora washauchuja baraza na taasisi za elimu kama shule, hiki kinachofanyika ni sarakasi tu za kisiasa
Sasa nimekuelewa.Mkuu hadi hapa sina swali kwako nimeridhika na hoja zako
Interview haina maana kama wanahitaji kuchuja idadi kwa kuangalia marks nawatumie kigezo cha GPA wenye gpa kubwa waanze kuajiriwa wenye ndogo waachwe kwani assessment wanayoifanya ni sawa na ile iliyofanywa na NECTA na TCU
Hongera mkuu hakika umepambana na siku zote ukipambana Mungu hakuachi hivi hiviNimeshasema hapo juu wanapanga rank in descending order from highest marks to lowest kwahiyo wanaendelea kuchukua kwa kushuka chini kwa kadri nafasi zinapopatikana, nasikia database ni valid kwa mwaka mmoja.
Mi nilifanya interview nikapita mpaka oral. Ile kazi sikupata ila ilitokea nafasi taasis nyingine ya serikali nikaja kupata ( miezi kama 6 baadae) na barua ya kazi ilielekeza kabisa kuwa ni kwa matokea ya interview ile niliyokuwa nimefanya na kufaulu ila nikakosa nafasi kwa sababu ya competition.
Tulikuwa kadhaa na wote tulitokea kwenye ile ile interview.
NB Sina connection yeyote, hakuna mtu aliyeni connect, niliona tangazo la nafasi, nika omba, nika itwa interview nikapambana kwenda kwa shida shida hivyo hivyo na Mungu akasaidia nikapata.
Na nafasi ya engineer, nami nilipata div 1 shule, chuo nikafaulu vizuri, ni registered ERB ila interview nilifanya.
Kuna jamaa angu anafundisha feza hata hajafanyiwa interview alichukuliwa moja kwa moja alipomaliza chuo tu maana wanakuwa na taasisi zao za kuwasimamia graduates vyuoniNdio maana shule za kata zimejaa wallimu vilaza kutokana na hakuna usaili
Nenda Shule kama IST au Feza, kama utapewa kazi bila interview hata kama una Phd ya jalalani !
mkuu, uwekewe ulinzi.Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
nawe pia usikilizwe!Punguza malalamiko, tuna accredited ICT guys ambao ni approved and certified by international organization, tuna wahasibu pamoja certification zao including CPA but bado wanafanya interview
Concept ya interview ni kupata right candidate for that position. Ni hiyo position inahitaji more than certificates, inahitaji vitu vingi. One way to know kama candidate anavyo ni through interview
sio kushindwa, ni usumbufu!Kama huko kote ulipita, interview inakushindaje?
Ni dharau ya kiwango Cha SGR 🤔Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
According to waasisi wa mchakato huu, ni idadi kupunguzwa.Kwahiyo sio ubora tena ni idadi?
Sasa vipi wote wakiscore high marks watakaowekwa kwenye data base watatumia kigezo gani kuwaita kazini endapo nafasi ikitokea let's say nafasi moja?
Na kama lengo ni idadi tunakubaliana na mtoa mada kuwa ubora washauchuja baraza na taasisi za elimu kama shule, hiki kinachofanyika ni sarakasi tu za kisiasa
Daktari anachujwa kwenye kundi la daktari. Ubaya upo ?Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.