Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ni kuzima simu apige weee haipokelewi ,mwishowe anaanza kujiuliza na kujijibu ukifika nyumbani unakuja umebeba kizawadi Cha uongo na kweli akicheka kidogo ,Basi peleka mtalimbo huo jua yameisha tayariKuna muda uko serious na watu muhimu afu mambo hayo nanaua mchongo, ina maana yeye hakuamini amini?
Utumwa uko wapi hapo? Nampenda na hapo namuuliza sababu najali. Na yeye anaelewa wala hana shida.Kwa hiyo mumeo ni mtumwa kwako?
Wewe nae naona mjadala unakushinda, kwanza nimesema hajanioa nisome vizuri.Kwani hana akili, mpka anakuoa si ulimwamini, kwa nn una nashaka naye?
Ili upate pa kumshikia eeehhh...hapo alishakosea tokea mwanzo...Wewe nae naona mjadala unakushinda, kwanza nimesema hajanioa nisome vizuri.
Pili, kufuatilia hakuna maana humuamini mwenzio bali unajali.
Kwangu mimi kumfuatilia ni kujali, lazima nifahamu kila kinachomhusu.
Na sitokaa niache kumfuatilia, lazima anifahamishe kila hatua ya anachokifanya.
Wewe nae naona mjadala unakushinda, kwanza nimesema hajanioa nisome vizuri.
Pili, kufuatilia hakuna maana humuamini mwenzio bali unajali.
Kwangu mimi kumfuatilia ni kujali, lazima nifahamu kila kinachomhusu.
Na sitokaa niache kumfuatilia, lazima anifahamishe kila hatua ya anachokifanya.
Ukiwa swala tano hakuna swali hata moja hapo utaulizwa.Kwanza kabisa msimamo wangu, kama huo ni upendo naukataaa.
Uko kazini, unaulizwa unarudi saa ngapi? Umefika wapi? Mbona umechelewa kurudi? Angalia muda lakini!! Nashindwa kulala sababu yako.
Uko na nani? Mko Baa gani? Leo mpira unaangalia wapi? Usichelewe kurudi lakini, mtoto anasumbua amekumiss, anakutaka wewe.
Hujakaa sawa kapigiwa mshkaji ambaye uko naye, anaanza kuulizwa, "shem uko na fulani". Hii kitu imenishinda kwa kweli.
Wake mliopo ndoani au mnaishi na waume nauliza maswali kwenu naomba majibu.
1. Mume anapaswa kurudi nyumbani saa ngapi?
2. Ni sehemu gani inamfaa kuangalia mpira, banda umiza Baa yenye watoto wazuri?
3. Ikiwa umeagwa na kupewa location aliyopo kuna haja ya kucomfirm yuko na fulani kweli kwa kupiga simu?
Binafsi naona kwa level hii ni utumwa kwa mume na ni udhalilishaji pia.
Niko sawa au nazingua kwa mtazamo wangu?
It is Ok kuuliza,inawezekana kweli unajali .... Lknlazima
Mambo yenyewe mengi muda mchache, huo muda wa kufatiliana Kila sekunde unatoka wapi!?. Kila mmoja achukue hamsini zake tutaonana jioni 🤒Kwanza kabisa msimamo wangu, kama huo ni upendo naukataaa.
Uko kazini, unaulizwa unarudi saa ngapi? Umefika wapi? Mbona umechelewa kurudi? Angalia muda lakini!! Nashindwa kulala sababu yako.
Uko na nani? Mko Baa gani? Leo mpira unaangalia wapi? Usichelewe kurudi lakini, mtoto anasumbua amekumiss, anakutaka wewe.
Hujakaa sawa kapigiwa mshkaji ambaye uko naye, anaanza kuulizwa, "shem uko na fulani". Hii kitu imenishinda kwa kweli.
Wake mliopo ndoani au mnaishi na waume nauliza maswali kwenu naomba majibu.
1. Mume anapaswa kurudi nyumbani saa ngapi?
2. Ni sehemu gani inamfaa kuangalia mpira, banda umiza Baa yenye watoto wazuri?
3. Ikiwa umeagwa na kupewa location aliyopo kuna haja ya kucomfirm yuko na fulani kweli kwa kupiga simu?
Binafsi naona kwa level hii ni utumwa kwa mume na ni udhalilishaji pia.
Niko sawa au nazingua kwa mtazamo wangu?
inauma sana haki ya munguUmeuza uhuru wako kwa pesa zako za mahari,inauma sana.
Usikubali kabisa mwanangu kimbia njoo huku tuendeleze kujivunika ngumi na kula vyakula vya akina mama wa mtaani ili homa ya matumbo ituue wote kakaMambo kama hayo yamenifanya niamue kuachana na ndoa,mwakani mwezi wa pili nitakuwa free
Malengo yang toka mwanzo ilikuwa nikuishi kama wild animal,lakin mwanamke akajiingiza kwenye maisha yangu kiujanja ,sasa badala atulie ananifanya mimi kama mwanae,sikubali