Kumfuatilia mumeo kila hatua kwa kisingizio cha upendo kunakera sana

Kumfuatilia mumeo kila hatua kwa kisingizio cha upendo kunakera sana

Hiyo code inazuia simu zote, bila kuathiri vitu vingine, yan ww unaweza kupiga cm ila haitapatikana yako. Na kutoa ni #21#
Swali moja kwako,simu zetu wengine ni za line mbili,je itablock ile line moja tu niliyo fanyia manuva na nyingine kuwa free? Au itabidi niblock zote
 
Inategemea na pisi inayonifatilia, nifuatiliwe na pisi ambayo ni type yangu kama huyu, kitu slimthick aaaiii😋😋 The only mrangi anasbo mzabzab Mzee wa kupambania Extrovert Equation x
Screenshot_20241116-194336.jpg
 
Swali moja kwako,simu zetu wengine ni za line mbili,je itablock ile line moja tu niliyo fanyia manuva na nyingine kuwa free? Au itabidi niblock zote
Ukipiga iyo code inakupa option ya line gani unataka, unachagua ww nyingine itakuwa free labda uamue kupiga zote
 
Kwanza kabisa msimamo wangu, kama huo ni upendo naukataaa.

Uko kazini, unaulizwa unarudi saa ngapi? Umefika wapi? Mbona umechelewa kurudi? Angalia muda lakini!! Nashindwa kulala sababu yako.

Uko na nani? Mko Baa gani? Leo mpira unaangalia wapi? Usichelewe kurudi lakini, mtoto anasumbua amekumiss, anakutaka wewe.

Hujakaa sawa kapigiwa mshkaji ambaye uko naye, anaanza kuulizwa, "shem uko na fulani". Hii kitu imenishinda kwa kweli.

Wake mliopo ndoani au mnaishi na waume nauliza maswali kwenu naomba majibu.

1. Mume anapaswa kurudi nyumbani saa ngapi?

2. Ni sehemu gani inamfaa kuangalia mpira, banda umiza Baa yenye watoto wazuri?

3. Ikiwa umeagwa na kupewa location aliyopo kuna haja ya kucomfirm yuko na fulani kweli kwa kupiga simu?

Binafsi naona kwa level hii ni utumwa kwa mume na ni udhalilishaji pia.

Niko sawa au nazingua kwa mtazamo wangu?
Mkuu,
Kwenye vyombo vya usafir huwa Wana andika KILA ABIRIA CHUNGA MZUGO WAKO.

relax mzee umependwa tulia na relax kwani Kuna SHIDOO.
 
Back
Top Bottom