Kumfuatilia mumeo kila hatua kwa kisingizio cha upendo kunakera sana

Ulioa mvuta sigara Kaka ?
 
Kwa upande wangu maswali kama hayo kwa mke wangu mtarajiwa ni ya kawaida hayana tatizo tunapiga story tuna furahi tuna cheka pamoja tunapashana taarifa ni mambo ya kawaida sana
Uchumba ni sawa, ngoja aingie ndani uone kero zake
 
It is Ok kuuliza,inawezekana kweli unajali .... Lkn

Ukishaambiwa Nipo sehem flan nafanya kitu flan, unakua muelewa au unakua mbinafsi?

Mfano... Nipo bar flan naangalia mpira na ww upo home umewasha TV unaangalia mpira huohuo... Unakua muelewa
Yes, namuelewa. Wala sina shaka na anachoniambia.
 
Saikolojia ya wanaume wengi iko hivyo Kwamba hawapendi kupigiwa simu kuulizwaulizwa maswali ya “ uko wapi “ ?
Unafanya nini ? Uko na nani ? N.k
Inaonesha kutokuwaamini na hawapendi wanakereka mno.
Mwanamke asomaye na afahamu jambo hili.
 
Upo sawa nyakati unayopitia pia naipitia.. sometimes naweka kindege tu. Ili nii'enjoy
 
Kama unataka uhesabiwe kuwa unampaga raha na utulivu mumeo Basi epukana na hiyo tabia alosema mleta mada.

Make the difference.
 
Kwa hiyo nikubaliane na hali😁😁
Siku akija kuacha kukufuatilia utamiss sana hizo moments wallahi wewe onyesha ushirikiano enjoy the moment hayo ndio mapenzi, huo ndio wivu. Mapenzi bila wivu hayanogi.
 
Upo sawa nyakati unayopitia pia naipitia.. sometimes naweka kindege tu. Ili nii'enjoy
Asante, ili mambo yaende, ukirudi unasema sim nilikuwa naboost counter, kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…