The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Mkuu Lissu ni akili kubwa ndiyo,lakini nchi hii haifai kuendeshwa na mwanasheria,Yule Lissu ni akili kubwa sana. I wish angekuwa Rais wa hii nchi iliyojaa wahuni wa kila aina.
Yeye ni kuiba tu mali za TanganyikaChura kiziwi unategemea asome historia? Huo muda hana
Kwa sasa misaada haichukuliwi?Mkuu Lissu ni akili kubwa ndiyo,lakini nchi hii haifai kuendeshwa na mwanasheria,
Kwanini?
Kwasababu TAL kanyooka mno,kila kitu atataka kifuate Sheria,Lissu na Magufuli wametofautiana vitu vidogo Sana ila vingi wanafanana.
Style ya uongozi wa Magufuli alijitahidi kufuata Sheria ila kilichomshinda ni hizi tabia.............
1.Visasi
2.kupenda sifa
3.Maamuzi yenye mihemuko.
Lissu style yake hapendi sifa,na hana maamuzi ya mihemuko ila ni muwazi kupitiliza, kiongozi anapaswa kuwa na kaba haswa kwenye uongozi wa juu kama Urais.
Lingine Lissu anaamini katika misaada kutoka Kwa wahisani hili nalo ni jipu lazima nchi iyumbe tu
Swali zuri sanaKwa sasa misaada haichukuliwi?
Umeeleza kwa ufupi lakini umeeleweka sana ila hapo kwenye mapungufu yake tuongezee kuwa huwa anaruhuau kushauriwa ila kwa hoja .Mkuu Lissu ni akili kubwa ndiyo,lakini nchi hii haifai kuendeshwa na mwanasheria,
Kwanini?
Kwasababu TAL kanyooka mno,kila kitu atataka kifuate Sheria,Lissu na Magufuli wametofautiana vitu vidogo Sana ila vingi wanafanana.
Style ya uongozi wa Magufuli alijitahidi kufuata Sheria ila kilichomshinda ni hizi tabia.............
1.Visasi
2.kupenda sifa
3.Maamuzi yenye mihemuko.
Lissu style yake hapendi sifa,na hana maamuzi ya mihemuko ila ni muwazi kupitiliza, kiongozi anapaswa kuwa na kaba haswa kwenye uongozi wa juu kama Urais.
Lingine Lissu anaamini katika misaada kutoka Kwa wahisani hili nalo ni jipu lazima nchi iyumbe tu
Humu ndani watu hawana akili alafu wanataka kujifanya wana akili kuna nchi ya Afrika ambayo haichukui misaadaSwali zuri sana
Point ya mwisho ndiyo umeharibu. Ila huko sahihi kwa vingi. Lissu ni akili kubwa sana na amenyooka kweli kweli. Akiwa Rais lazima tunyooshwe, namkubali sana huyu mwamba ila apate miaka mitano tuMkuu Lissu ni akili kubwa ndiyo,lakini nchi hii haifai kuendeshwa na mwanasheria,
Kwanini?
Kwasababu TAL kanyooka mno,kila kitu atataka kifuate Sheria,Lissu na Magufuli wametofautiana vitu vidogo Sana ila vingi wanafanana.
Style ya uongozi wa Magufuli alijitahidi kufuata Sheria ila kilichomshinda ni hizi tabia.............
1.Visasi
2.kupenda sifa
3.Maamuzi yenye mihemuko.
Lissu style yake hapendi sifa,na hana maamuzi ya mihemuko ila ni muwazi kupitiliza, kiongozi anapaswa kuwa na kaba haswa kwenye uongozi wa juu kama Urais.
Lingine Lissu anaamini katika misaada kutoka Kwa wahisani hili nalo ni jipu lazima nchi iyumbe tu
Nyomi hilo lote ni wanachama yaani mabalozi wa nyumba kumi kumi, wanachama matawi na wajumbe wa mkutano mkuu wiraya na mkoa husika na mikoa jirani wa mkutano unapofanyika wakisombwa kwa maroli, wakiandikwa majina na ole asiyehudhulia. Ifikie kipindi msitufanye watanzania wajinga maana yanayofanyika mtaani tunayaona ila kwasababu vyombo vingi vya habari mshavipa maelekezo wanaonesha nyomi hilo la wananchama wakihudhulia bila kupenda kisa hofu iliyowatanda mioyoni mwao. Msijipe legitimacy ambayo hata mioyo yenu inahuzunikaTunadanganyanyana kama watoto, lini huyo lissu alisema anagombea zaidi ya matusi na kuchochea ugaidi baada ya kihisi Hana chake katika uchaguzi huu. Hebu tazama nyomi la mama yetu mpendwa ktk kampeni zinazoendelen