The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Yule Lissu ni akili kubwa sana. I wish angekuwa Rais wa hii nchi iliyojaa wahuni wa kila aina.
Hii kesi ya Maza ya mchongo inazidi kuonyesha kuwa Lissu ana uwezo mkubwa kuliko mwanzilishi wa hii kesi.