The Khoisan Platinum Member Joined Jun 5, 2007 Posts 18,900 Reaction score 18,751 Sep 10, 2025 #21 Tate Mkuu said: Yule Lissu ni akili kubwa sana. I wish angekuwa Rais wa hii nchi iliyojaa wahuni wa kila aina. Click to expand... Hii kesi ya Maza ya mchongo inazidi kuonyesha kuwa Lissu ana uwezo mkubwa kuliko mwanzilishi wa hii kesi.
Tate Mkuu said: Yule Lissu ni akili kubwa sana. I wish angekuwa Rais wa hii nchi iliyojaa wahuni wa kila aina. Click to expand... Hii kesi ya Maza ya mchongo inazidi kuonyesha kuwa Lissu ana uwezo mkubwa kuliko mwanzilishi wa hii kesi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 10, 2025 #22 Muda utaongea... Cc: Mahondaw