Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sasa mkurugenzi si anakula na wakubw, amejenga appartments za kutosha na watoto wanasoma marekani, wewe unauza nyama ya swala rafiki yako ni mtendaji wa kijiji ambaye hawezo kukusaidia kitu.Huku majizi na majambazi yakiendelea kula mema ya nchi. Its so sad Kwa kweli. Mkurungezi wa ATCL ameiba 71 bil anahukumiwa miaka 2 au fine ya Tsh 12 mil tu.
Hii nchi Kwa kweli Kuna mambo yanauimza Sana. Itafika sehemu watu wataanza kujitoa mhanga Kwa upumbavu huu aisee
Hili liko mikononi kwa TLS na wanaharakati wa haki za binaadamu, wote hawa wako butu hawathubutu kuwatetea raia wema.Ni kwa sababu hatuna upinzani madhubuti na ulio serious kabisa. Tatizo ni hilo!.
Unaitoaje wakati mpka kwenye derby ya kariakoo juzi mibango ya kumsifu mama na serekale yamejaaa...na hao ni vijana tunaotegemewa....Kuiondoa CCM madarakani. Na kwa bahati mbaya mpaka muda huu hakuna njia sahihi wala mpango wowote ule wa kueleweka, wa kuitoa.
Nikisoma(ga) articles za namna hii napata hasira sana.Watu wanasafirisha twiga wazima na hakuna lolote linalotokea. Huyu hoehae kakutwa na kilo 22 kafungwa mwaka mmoja kwa kila kilo aliyokutwa nayo. Haki ipo wapi hapo?
Nyama yenyewe thamani yake 900,000/ inasemekanaHii kweli kubwa na inasikitisha sana. Yaani kifungo chote hicho kwa kosa la kukutwa na nyama ya swala. Hawa mahakimu wengine huwa ni hasira za kukosa ulaji hapo
Si rahisi. Ila nao wawe na misimamo WOTE, haipendezi Mbowe na Lissu pekee wawe na misimamo huku wenzao wengine wakiwarushia vijembe pasipo kuunga mapambano. Wapinzani waongee lugha moja, waboreshe HQ zao nk, ili angalau wananchi waone kuwa wapo serious na wamejiandaa kupokea nchi.Anzisha wewe huo Upinzani Madhubuti na Imara....!
Unadhani ni rahisi kuwa Lema, Lissu, Zitto ama Mbowe....!?
Big Yes. Shukrani sana kwa fikra hii.No, jukumu hilo ni la wananchi wenyewe. You dont need upinzani kuondoa serikal, the day wananchi watakuwa wamoja na kuamua ndio siku wataondokana na hili zimwi. Until then
Sheria ipi fafanua?Sheria imefuata mkondo wake...
Mzee are you REALLY serious?Nipeni jina la huyo hakimu, mi nitamtumia watu wakamtandike shaba za kichwa mshenzy huyo, hana utu?!
Take care, may your day come!Sheria imefuata mkondo wake...
Kwani yeye alipomfunga huyo dada 22 yrs alikuwa serious?!Mzee are you REALLY serious?
Hakimu gani anakua kama shetani aliyevaa ngozi ya mtu.., angekuwa mwanae angemfunga 22 yrs wakati sheria imetoa nafuu na mwanya kwa hakimu kutumia busara? Mdada huyo anaonesha sio jangili, labda alipewa tu.., pia ni masikini sana anaonekana, ni shida tu...Nyama ya swala.miaka 22 jela[emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app