Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sasa mkurugenzi si anakula na wakubw, amejenga appartments za kutosha na watoto wanasoma marekani, wewe unauza nyama ya swala rafiki yako ni mtendaji wa kijiji ambaye hawezo kukusaidia kitu.Huku majizi na majambazi yakiendelea kula mema ya nchi. Its so sad Kwa kweli. Mkurungezi wa ATCL ameiba 71 bil anahukumiwa miaka 2 au fine ya Tsh 12 mil tu.
Hii nchi Kwa kweli Kuna mambo yanauimza Sana. Itafika sehemu watu wataanza kujitoa mhanga Kwa upumbavu huu aisee