Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?
Yaani unasema kweli, huyo mwana dada kakaa jela miaka 22?

Na, kosa lake ni hiyo nyama ya swala?

Na katika miaka yote hiyo, 22, hapakuwepo hata na KUDURUVU (Review); wala ile tume ya msamaha aliyokuwa akiiongoza Marehemu Mrema, haikuweza hata kumfikiria?

Mkuu 'Carlos', nimejikuta nashindwa kabisa hata kukupa 'like' tu ya taarifa ya namna hii, kwa sababu hakuna kitu cha 'ku-'like' kwenye dhuruma ya namna hii.

Nchi hii imechelewa sana kupata mapinduzi za kuondoa utawala wa namna hii!
 
Kuiondoa CCM madarakani. Na kwa bahati mbaya mpaka muda huu hakuna njia sahihi wala mpango wowote ule wa kueleweka, wa kuitoa.
Kuna njama CHADEMA zimefanyika kuzima matumaini ya waTanzania.
Viongozi wa chama hicho wanao kizima chama hiki hawatakuwa tofauti na wahaini wengine wote.
 
Hawa ni aina ya mahakimu ambao Sheria haipo kichwan, ni wapuuzi wanaotembea na tukanuni twaao kichwan,, Sina shaka ukifatilia hukumu za huyu mpuuzi, utagundua zote zinafanana.

Hivi Kwa hali ya kawaida, mwanamke alochoka kama huyu, hata km kakukutwa na nyama ya Swala, ni wakumfunga miaka 22?

Kwa mwanamke, kitendo tu cha kusota mahabusu kipindi chote cha kesi, kimetosha kumfundisha
Ni hukumu ya kisheitwaaaani.
Mdogo wake rostam yuko uraiani anapeta na ameua maelfu ya tembo wetu, kinana kasafirisha twiga na sasa n mutu mukubwa huko lichama la kijani.
 
Mahakimu hawako huru miyoyoni mwao,you cant be free if you judge people
 
Kuna kitu tunakosea sana kuhusu wanyama pori. Raia hawana elimu ya kuishi nao pale wanapoingia mazingira yao au wanyama wanapokuja mazingira yao.

Nadhani tunahitaji wataalamu wanaowafahamu hawa wanyama vema ili raia waweze kuelekezwa namna ya kuishi nao na kuweza ku:co exist.

Mnyama kama tembo akija eneo la makazi ya watu basi amepata harufu ya chakula kama mahindi, viazi, mihogo na kadhalika. So raia wanatakiwa kujua yule ni mnyama kitendo xha kumletea shari au kutaka kumfukuza itamlazimu kujitetea na ndipo hapo madhara hutokea.

Nimeshaona video ya tembo wanaokwenda kwenye hoteli ya kitalii na wapishi huwa wanaandaa mazaga wanawawekea hapo pembeni maana walifumua paa la jiko na ndipo hapo chakula wanaweka so wakija wanakula wakiwa wamesimama kwa nje na kupenyeza mikonge yao kwa ndani ya chumba cha jiko.

Imeshakuwa mazoea na hao tembo huwa wanakuja hapo mara kwa mara. Aiseee ukiwa muoga huwezi kukaa hilo eneo maana unakuta bonge la tembo linachungulia juu ya paa linaingiza mkonga wake kupapasa msosi. Halafu wanakuja kimya kimya.

Tembo anaweza pita nyuma ya jengo na usijue kama wapo nyuma ya nyumba hapo sasa tokea huko nyuma bila mahesabu utashangaa umempiga kikumbo. Me wakisema sehemu fulani tembo huwa wanapita au kuja sana huwa sishauri mtu aende hayo maeneo kama ana umakini mdogo maana ukizingua wanapita na wewe na kukudedisha ni dakika chache tu.

Maelezo mrefu umeandika pumba, kumbe hata Tembo haujawahi waona. Nenda sehemu zenye changamoto hiyo waulize wakueleze.
 
Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia mpaka ajue huyu ni Swala?

Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?

Kwamba kupitia hiyo nyama, angekuwa tajiri kama walivyo majizi yenu ya CAG?

Upumbavu, ufedhuli, ujinga, ukosefu wa Hekima na Busara aliouonesha huyu Hakimu unaadhihirisha aina ya Wanasheria uchwara tulionao hapa Nchini.

View attachment 2805999

Mahakama inazidi kuwakosanisha wananchi na Serikali.

Tunazo reference nyingi za matajiri na wanasiasa hasa CCM kukutwa nyara za thamani kubwa hasa meno ya tembo na mwisho wa siku waliachiwa huru, wapo watu walituhumiwa kwa ufisadi wa kutisha wakapewa kifungo cha nje na kufagia na wengine wapo nje tu.

Nchi ni hii hii tunaona kwahiyo chocheeni moto tu
 
Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia mpaka ajue huyu ni Swala?

Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?

Kwamba kupitia hiyo nyama, angekuwa tajiri kama walivyo majizi yenu ya CAG?

Upumbavu, ufedhuli, ujinga, ukosefu wa Hekima na Busara aliouonesha huyu Hakimu unaadhihirisha aina ya Wanasheria uchwara tulionao hapa Nchini.

View attachment 2805999
Mdogo wake Rostam aliyekuwa mratibu wa ujangili wote hapa Tanzania alipigwa faini ambayo kwa utajiri wa familia yake unaotokana biashara haramu ni kama pipi tu.
 
Watu wanasafirisha twiga wazima na hakuna lolote linalotokea. Huyu hoehae kakutwa na kilo 22 kafungwa mwaka mmoja kwa kila kilo aliyokutwa nayo. Haki upo wapi hapo.
Kudadadadeq
photo_2023-07-19_08-27-54.jpg
 
Huyo hakimu ningekula sahani naye moja tuende wote kuzimu kama ningekua mtoto wa huyo mama pona yake ingekua tu bi mkubwa kushinda rufaa.
 
Yaani kila kilo 1 Mwaka 1 jela total 22kg/per 22 yrs sentence dah this is disgusting Ila dah nahisi kuchoka mama anahitaji huruma Jamani kwani swala wapo kwenye list ya extinction Jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
sheria haina huruma
 
Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia mpaka ajue huyu ni Swala?

Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?

Kwamba kupitia hiyo nyama, angekuwa tajiri kama walivyo majizi yenu ya CAG?

Upumbavu, ufedhuli, ujinga, ukosefu wa Hekima na Busara aliouonesha huyu Hakimu unaadhihirisha aina ya Wanasheria uchwara tulionao hapa Nchini.

View attachment 2805999
Hakimu achunguzwe, unaweza ukakuta amegushi vyeti.
 
Kifungu cha 326 sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kimewapa chumba mahakimu na majaji kutumia busara wanapotua huku na kisha kuzingatia ,hali ya maisha ya mtuhumiwa, Ukubwa wa kosa,afya kujirudia kwenye ukosaji na kuwahukumu wakosaji conditional dischage. Au masharti ya kutokutenda kosa kwa kipindi fulani.

Ukiangalia hali ya maisha na afya ya huyu mama hata kama alikuwa mkosaji na kweli alikamatwa na nyama ya Swala. Alitakiwa kuhukumiwa conditional discharge ili ajifunze na sio kifungo cha jela miaka 22 kwa kukutwa tu na kilo 22 za nyama ya Swala.
Huku majizi na majambazi yakiendelea kula mema ya nchi. Its so sad Kwa kweli. Mkurungezi wa ATCL ameiba 71 bil anahukumiwa miaka 2 au fine ya Tsh 12 mil tu.

Hii nchi Kwa kweli Kuna mambo yanauimza Sana. Itafika sehemu watu wataanza kujitoa mhanga Kwa upumbavu huu aisee
 
Back
Top Bottom