Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia mpaka ajue huyu ni Swala?

Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?

Kwamba kupitia hiyo nyama, angekuwa tajiri kama walivyo majizi yenu ya CAG?

Upumbavu, ufedhuli, ujinga, ukosefu wa Hekima na Busara aliouonesha huyu Hakimu unaadhihirisha aina ya Wanasheria uchwara tulionao hapa Nchini.

View attachment 2805999
sheria haina logic, watumeni wabunge wenu wabadili sheria.
 
Kifungu cha 326 sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kimewapa chumba mahakimu na majaji kutumia busara wanapotua huku na kisha kuzingatia ,hali ya maisha ya mtuhumiwa, Ukubwa wa kosa,afya kujirudia kwenye ukosaji na kuwahukumu wakosaji conditional dischage. Au masharti ya kutokutenda kosa kwa kipindi fulani.

Ukiangalia hali ya maisha na afya ya huyu mama hata kama alikuwa mkosaji na kweli alikamatwa na nyama ya Swala. Alitakiwa kuhukumiwa conditional discharge ili ajifunze na sio kifungo cha jela miaka 22 kwa kukutwa tu na kilo 22 za nyama ya Swala.
Yaani kila kilo 1 Mwaka 1 jela total 22kg/per 22 yrs sentence dah this is disgusting Ila dah nahisi kuchoka mama anahitaji huruma Jamani kwani swala wapo kwenye list ya extinction Jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia mpaka ajue huyu ni Swala?

Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?

Kwamba kupitia hiyo nyama, angekuwa tajiri kama walivyo majizi yenu ya CAG?

Upumbavu, ufedhuli, ujinga, ukosefu wa Hekima na Busara aliouonesha huyu Hakimu unaadhihirisha aina ya Wanasheria uchwara tulionao hapa Nchini.

View attachment 2805999
Kuna mwingine kafungwa miaka ishirini kwa kukutwa na bangi kg10. Hizi Sheria zetu sijui zikoje
 
nenda jela wewe kwa niaba yake km umemwonea huruma, mnafki mkubwa sheria ni msumemo haiangalii hali ya mtu. Sheria haijatungwa kwa maskini wala tajiri. Km we unajijua ni maskini tii sheria. Ufanye uhalifu halafu ndio uachwe kisa maskini? We kweli ni kenge tena mnafki tu unatafuta umaarufu wa kilofa.
kulikua na ulazima wa kumuita kenge ndugu?
 
Back
Top Bottom