Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Nchi hii Sheria zimetungwa kwa ajiri ya masikini na mahakama zimewekwa kwa ajiri ya kuwahukumu masikini.
Sheria zimetungwa wote. Ila kuna kundi dogo ambalo linaweza kupindisha pindisha na wasifanywe kitu
Bad news kundi hili linajulikana na tumewapa dhamana