Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

Yeye alikua amelewa nini alipokata minyororo iliyofungwa kwenye matairi?
Alupokaidi kupeleka mabasi mbezi alikua amelewa nini?
 
Sasa eneo limefungwa na serikali kutumika yeye analeta kiburi na dharau kwa mamlaka anafungua ,hapo kweli utailaumu mamlaka? Ajitambue na yeye vipesa kidogo tu anavimba mabega, alistahili alichpfanyiwa
sio eneo ni bus lilipigwa cheni ilihali basi hilo lilishakatiwa tiketi lilitakiwa kusepa jamaa akafungua ndo iliyosababisha kupigwa pingu kwa kukaidi amri pia ni akili kubwa sana ametumia otherwise angepata hasara kutokana na bus hilo kutofanya safari kwa siku husika kwa kigezo cha tyre kupigwa cheni tu?.
 
Huyu anadhani atakuwa mkuu wa mkoa milele. Sasa pingu ya nini mtu hana silaha.

Ubabe bado haujaisha Tanzania. Wakati anadai kama amekosea wampeleke mahakamani yeye mwenyewe anawapiga watu pingu bila kuwaprleka mahakamani.
 
Watanzania tunatia huruma. Haya ni matokeo ya uongozi mbovu ulisababishwa na wananchi kutochagua viongozi wao kwa uhuru. Kna moja tu la kufanya: tupiganie mabadiliko ya katiba na mfumo mzima wa uongozi au tuendelee kulalamika/kuumizwa/kuuawa kila siku kwa zamu.
 
Nasubiri kuona wa Esther vile vile na baadaye wa Buti la zungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…