Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

Ndo matokeo ya fisi kutamalaki bucha
 
Zamani wakati stendi zipo kisutu na mnazi mmoja watu walikuwa wanapandaje mabus na stand mitaani ilikuwa hakuna?

Wacheni kufanya mazoea iwe sheria.
Fateni utaratibu...

Kama unaishi mbagala na usafiri wako ni Magufuli terminal hyo ni changamoto uliyojitakia mwenyewe.
Jenga au panga chumba kutokana na location ya kwenu..
Mkuu wa mkoa yupo sahihi kutumia nguvu.
Mbona wakati wa Magufuli watu wote walitii amri hii na hakuna aliyelalamika kwamba stand ipo mbali na makazi?
Na kwann 90% ya wanaokaidi na kulalamika ni wamiliki wa mabus?kuna nn nyuma ya kuweka stand mitaani?
 
Upo sahihi hatuna jema sasa mtu anapinga amri halali ya serikali tena hadharani wanataka abembelezwe labda ,tena enzi za magufuli angekaa ndani hata mwezi kudadeki zake
Sio kila amri ya serikali ni halali, nyingine ni haramu, ni bahati mbaya tu huwezi kupeleka kesi mahakamani dhidi ya serikali ukashinda.
 
Yeye alikua amelewa nini alipokata minyororo iliyofungwa kwenye matairi?
Alupokaidi kupeleka mabasi mbezi alikua amelewa nini?
Mtu akifanya kosa unatakiwa ujichukulie sheria mkononi au apelekwe kwenye vyombo vya Sheria? Tunahitaji utawala wa sheria
 
Kwamba kwa kuwa ana kampuni ndiyo asitii maagizo ya serikali? Mnataka kuturudisha enzi za Mwinyi wafanyabiashara waliiweka serikali mfukoni. Hv kipindi cha uncle Magu kuna kima ht angetoa pua yake? Huyo Tilisho hata sura yake asingeionesha. Watii serikali
 
Hakika, Wangefatwa na Sabaya na Makonda kama Yusuf Manji na Mbowe kwenye mashamba yake.
 
Lioneni hili zoba, serikali inasimamia sheria bado unabwabwaja?
Kwani alikuwa na kosa? Mbona hajafikishwa kituo cha polisi ili akashitakiwe mahakamani?
Elimu Elimu Elimu.
Matamko siyo sheria!!!!!!!!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Polisi kuchunguza kesi ya kudharau amri ya mahakamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€
 
Post ya kipuuzi kabisa. Ita make sense kwa Nini umeiandika kama huyo so called muwekezaji atakuwa mumeo au basha wako!
 
Kupigwa pingu haimaanishi wewe ni mtuhumiwa bali ni kukuthibiti usije ukakimbia..
Amri ya serikali ni Sheria na kama unakaidi lazima ushughulikiwe kwa style yeyote.
 
Acha ushamba,jamaa alivunja sheria tena chala kamfanyia uungwana tu,nchi inayofuata sheria bila kujali ww ni nani yule jamaa saa hizi angekua kashashtakiwa,siku yake vunja sheria halafu uone kama utapewa barua eti ukaripoti mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…