Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

Kwamba asiitwe pingu kwa sababu yeye ni boss!??? Wakati Kuna wanaoona hata Waziri kama sio rais wanastahili kupigwa Tanganyika Jeki to Kizimbani.
Ulipaswa utuambie tuhuma zake ili tujue alistahili ama laa, sio kutuambia ni boss.
 
Amri haramu zina njia zake kisheria kuzi challenge na watu wengi tu wameishinda serikali, alichokifanya tilisho kisipodhibitiwa nchi itakuwa kama congo kila mtu mtemi, tusitetee ujinga
Hujui kwa nini Congo imekuwa hivyo. Congo imekuwa hivyo kwa sababu haki za raia zilizoporwa kwa kumuua Lumumba.
 
Tutafute hela Stand sio sehemu ya kwenda kama una hela, stand yako ni nyuma ya sebule yako unapo park Land Cruiser. Stand kuzidi kuhudumia ma laki ya watu kwa safari za route ndefu ni dalili za umaskini mwingine tu.
 
Wa TZ sisi ni watu wa ajabu sana, huwa tunataka utawala wa sheria lakini sheria ikifuatwa tunarudi kuangali je aliyevunja sheria ni β€˜mlalahoi’ au β€˜bosi’ then tuna judge kuanzia hapo tunaisahau sheria.
Ila pindi sheria inapovunjwa kwa makusudi na serikali hata kama ni kuteka, kuua au kufira raia chawa na UVCCM wote wanaitetea serikali.
 
Sheria ipi imetumika?
Kwa mujibu wa Kifungu cha 124 cha Kanuni ya Adhabu [SURA YA 16 R.E. 2022], ni kosa la jinai kukaidi amri, hati ya mahakama, au maagizo yoyote halali yaliyotolewa na mahakama, afisa wa umma, au mtu yeyote mwenye mamlaka ya kisheria.

🚫 Vitendo vinavyoweza kuwa kosa:
❌ Kukaidi maagizo ya mahakama.
❌ Kupuuza hati ya wito au amri ya polisi au afisa wa serikali.
❌ Kutotii maagizo ya mamlaka halali kwa makusudi.

Adhabu:
Mtu anayepatikana na hatia anaweza kufungwa hadi miaka miwili, isipokuwa kama kuna adhabu nyingine maalum iliyotajwa kwa kosa hilo.
 
Ila pindi sheria inapovunjwa kwa makusudi na serikali hata kama ni kuteka, kuua au kufira raia chawa na UVCCM wote wanaitetea serikali.
Hakuna mwenye haki ya kuvunja sheria, tuache mihemko ya kisiasa kwenye vitu vinavyohitaji utashi wa kawaida tu
 
Achana na mambo ya chatgpt. Onyesha sheria iliyotumika kufunga mtu pingu. Je, unajua udhalilishaji ni kosa?
 
Unaweza ukawa na pesa na bado ukawa mjinga
Sio wote wenye pesa wa akili

Ifike hatua tuache siasa na kutetea wajinga stand imejengwa kwa pesa nyingi tena unaweza kuta ni pesa za mkopo badala ya kufocus stand ifanye kaz na kurudisha pesa wajinga wachache hawataki kuitumia kwa sababu ya maslai yao binafsi huwo ni ujinga

Serikal ishike matajiri wajinga ili iwe funzo
Mm natoka arusha mjini naenda kupanda ndege moshi na sijawai lalamika sasa hao abiria wanao shindwa kutoka mjini naenda mbezi kupanda bas ni wajinga zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…