Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

Kwa kosa gani?? Maana ukipigwa pingu wewe ni mtuhumiwa hivyo unafunguliwa mashitaka. Sasa nambie ilikuwaje kama siyo ubabe tuu?????
Pingu inatumika pale tu ukionyesha tishio la kukimbia mamlaka..
Sio lazima uwe umefunguliwa mashtaka..
.
 
Hakuna mwenye haki ya kuvunja sheria, tuache mihemko ya kisiasa kwenye vitu vinavyohitaji utashi wa kawaida tu
Who said kwamba kuna mwenye haki ya kuvunja sheria? Ninachoongelea ni kwamba msumeno uwe unakata equally regardless watenda makosa ni wanaokinzana na serikali au wawe chawa/UVCCM.
 
Ubabe wa kijinga tu kwani ,kufuata utaratibu ni jambo jema! Kwani wenzake walio tii amri wamepungukiwa nini? Chalamila angesema mabasi yasiingie stand ningemuona ndo mkorofi
 
Chalamila amesahau alivyotumbuliwa na Magufuli, cheo dhamana tuu, awe makini na upuuzi kama huu
 

Jombaa mpenda Mpalange kwa wahudumu wake, leo hii kapigwa pingu ili wahuni wa jela wakampige kwa Mpalange bila FUTA

πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…