Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #21
Hapo wamekanusha taarifa za uvumi kuwa wanamshikilia makonda, hawajamtetea.
usiwalishe maneno ambayo hawakusema, hayo ya uchapakazi yalisemwa na mzee wa gaboliteNdugu, walikazia kuwa Bashite ni mchapa kazi na ni mtu safi.
Nenda YouTube utakutana na video.
Wewe utajiletea magonjwa ya moyo kwa chuki binafsi na Makonda,wakikuambia lete ushaidi kuhusu Makonda huna,labda utaanza kusema eti alionekana Dodoma wakati Lissu akipigwa lisasi na uongo kibao,vita ya Makonda ni kuwataja wauzaji wa madawa ya kulevya akimo Mbowe basi tu,Uzuri wa Makonda ktk utawala wake wa mkuu wa mkoa, alikuwa haogopi mtu mladi uwe na kosa.Habari,
Mimi ni miongoni mwa watu wachache tuliokuwa tukiuchukia uongozi wa Magufuli.
Matendo maovu na viburi kutoka kwa wateule wa Magufuli akiwemo Sabaya na Makonda ndivyo vilichochea zaidi kuichukia serikali ya Magufuli.
Hawa vijana waliojizolea utajiri kwa kutumia mamlaka yao hawafai kabisa.
Sasa inakuwaje mamlaka inamfunga Sabaya na mamlaka hiyohiyo inatoka hadharani kusema Makonda ni kijana msafi mchapa kazi ilhali dhambi za hawa vijana ziko wazi?
Yule afisa wa PCCB aliyemsafisha Makonda mchana kweupe alitumwa na nani?
Aliweka kizuizi kwetu wananchi ili tusiende kuripoti matendo maovu kwenye ofisi yake?
Basi Sabaya aachiwe tujue kuwa hii nchi dhulma na uovu si dhambi.
Aongeze tungulihapo alipo Makonda moja haikai mbili haisimami,full presha yaani ……..
Ashitakiwe ili tumuunge juhudi mamaKwani nani kakuambia Makonda hatashitakiwa...