Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Sekeli wa utopolo sijaona umtaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli, Labda kama wameanza siku hizi. Sijawahi kumsikia kigelegele Yanga au Mzee wa Utopolo akiitaja Sportpesa, au kampuni za kibiashara zaidi ya kujigamba na kuzungumzia mpira labda mara chache wanasifia muwekezaji GSM au Mo lakini si kwa uzito wa kusema wamelipwa. Wengi ni mapènzi yao na mpira.Kuna makampuni/maduka yanawadhamini,pale wanavyohojiwa na vyombo vya habari huwa wanachimekea kwa kuwataja wadhamini wao.
Humu anaongoza OKW BOBAN SUNZU mzee wa kutoa boko, mwasibu wa JF ndio shabiki lia lia wa Simba.
Hao wa Utopolo huwa sina muda wa kuwasikiliza..nawaongelea wale wa Simba..kwa mfano Mzee wa Pasi Million anadhaminiwa na kampuni ya Grants Care.Si kweli, Labda kama wameanza siku hizi. Sijawahi kumsikia kigelegele Yanga au Mzee wa Utopolo akiitaja Sportpesa, au kampuni za kibiashara zaidi ya kujigamba na kuzungumzia mpira labda mara chache wanasifia muwekezaji GSM au Mo lakini si kwa uzito wa kusema wamelipwa. Wengi ni mapènzi yao na mpira.
Sasa huyo sio shabiki lialia huyo shabiki biasharaHao wa Utopolo huwa sina muda wa kuwasikiliza..nawaongelea wale wa Simba..kwa mfano Mzee wa Pasi Million anadhaminiwa na kampuni ya Grants Care.
2017Hivi Ally Yanga alifariki lini? Naona umeandika RIP