Si kweli, Labda kama wameanza siku hizi. Sijawahi kumsikia kigelegele Yanga au Mzee wa Utopolo akiitaja Sportpesa, au kampuni za kibiashara zaidi ya kujigamba na kuzungumzia mpira labda mara chache wanasifia muwekezaji GSM au Mo lakini si kwa uzito wa kusema wamelipwa. Wengi ni mapènzi yao na mpira.