Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.

1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
 
Said Mwamba
Method Mwogela
Steven Mussa
Abubakar Sureboy
Nassor Mwamba Kizota
Zamoyoni Mwogera "Fundi"
Issa Athuman
David Mwakerebera
Edimile Runyamila
 
Said Mwamba
Method Mwogela
Steven Mussa
Abubakar Sureboy
Nassor Mwamba Kizota
Zamoyoni Mwogera "Fundi"
Issa Athuman
David Mwakerebera
Edimile Runyamila
Kuna mchezaji mwenye jina la Nassor Mwamba Kizota kweli? Siyo umechanganya na huyo Said Mwamba "Kizota"!!!

Halafu hao akina Zamoyoni, ubini wao ni Mogela! Na siyo Mwogela! David Mwakalebela na siyo David Mwakerebera.

Pia huyo mchezaji uliyemuweka hapo mwisho anaitwa Edibily Jonas Lunyamila! Na siyo Edimile Runyamila.
 
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.

1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Kulikuwa na yule kipa kutoka Burundi, Mc Kenzie Ramadhani, alikuwa mzuri sana aisee.

Pia kulikuwa na namba nane mkali Sekilojo Chambua.

Nani anamkumbuka Richard Lumumba?

Godwin Aswile alikuwa hapitiki wala hapimiki
 
Iddi Pazzy "Father"
Ahmed Amasha
Fred felix Minziro
Athumani Mambosasa
Omary Mavumbi
Fumo felician
George Masatu
Nteze John
Beya Simba
Abdala Bori.
 
Wangu kumi na watatu wa nyongeza

"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella
"Tanzania One"- Mohamed Mwameja
"Mmachinga " - Mohamed Hussein
"Homa ya Jiji" - Makumbi Juma
"Kiminyio" - Madaraka Selemani
"Fundi" - Method Mogella
"Jembe Ulaya" - Bakari Malima
"Computer" - Sunday Manara
"Golota" - Joseph Kaniki
"SMG" - Said Maulid
"Ball Dancer" - Mao Mkami
"Nyumba" - Victor Costa
"Rungu"- Nteze John
 
Kuna mchezaji mwenye jina la Nassor Mwamba Kizota kweli? Siyo umechanganya na huyo Said Mwamba "Kizota"!!!

Halafu hao akina Zamoyoni, ubini wao ni Mogela! Na siyo Mwogela! David Mwakalebela na siyo David Mwakerebera.

Pia huyo mchezaji uliyemuweka hapo mwisho anaitwa Edibily Jonas Lunyamila! Na siyo Edimile Runyamila.
Msukuma huyo hajui R wala L
 
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.

1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Sijamuona nizar khalfani na canavaro
 
Kuna mchezaji mwenye jina la Nassor Mwamba Kizota kweli? Siyo umechanganya na huyo Said Mwamba "Kizota"!!!

Halafu hao akina Zamoyoni, ubini wao ni Mogela! Na siyo Mwogela! David Mwakalebela na siyo David Mwakerebera.

Pia huyo mchezaji uliyemuweka hapo mwisho anaitwa Edibily Jonas Lunyamila! Na siyo Edimile Runyamila.
😳😳😳🤣
 
Edgarrrrrrrrrrrr Fongo. Namba 10 Moto haswa. Ila alishaini mwaka mmoja tu Utopoloni.
 
Back
Top Bottom