Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

Hivi TZ hii tulishapata viungo kama Method Mogela na Hussein Marsha?
 
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.

1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Wangu Ni Hawa, hao wa zamani sikuwaona list yangu itaangazia miaka ya 2005 kupanda juu...

1. Kaseja
2. Ngassa
3. Okwi
4. Kipre tcheche
5. Chama
6. Miqquisonne
7. Mayele
8. Bocco
9. Msuva
10. Sureboy
 
Wangu kumi na watatu wa nyongeza

"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella
"Tanzania One"- Mohamed Mwameja
"Mmachinga " - Mohamed Hussein
"Homa ya Jiji" - Makumbi Juma
"Kiminyio" - Madaraka Selemani
"Fundi" - Method Mogella
"Jembe Ulaya" - Bakari Malima
"Computer" - Sunday Manara
"Golota" - Joseph Kaniki
"SMG" - Said Maulid
"Ball Dancer" - Mao Mkami
"Nyumba" - Victor Costa
"Rungu"- Nteze John
King mputa - Abdallah Kibadeni. Huyu lazima awepo hapo afu ndo list ikamilike.

Naungana na wee.
 
BINAFSI.
1. LUNYAMILA
2. EPHRAHIM MAKOYE
3. SAID MAULID
4. SHEKHAN RASHID
5. CHAMBUA SEKILOJO
6. PAWASA
7. OKWI
8. DUA SAID
9. STEVEN MAPUNDA "GARINCHA"
10. MARK SERENGO (ALIKAA KWA MUDA MCHACHE PALE SIMBA ILA ALIKUWA MSHAMBULIAJI HATARI SANA)
Vipi nawewe unamsongo wa mawazo ?
 
Back
Top Bottom