MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kuna mchezaji mwenye jina la Nassor Mwamba Kizota kweli? Siyo umechanganya na huyo Said Mwamba "Kizota"!!!Said Mwamba
Method Mwogela
Steven Mussa
Abubakar Sureboy
Nassor Mwamba Kizota
Zamoyoni Mwogera "Fundi"
Issa Athuman
David Mwakerebera
Edimile Runyamila
Zamoyoni Mogela "Golden Boy" Umenikumbusha mbali sana Mkuu.Said Mwamba
Method Mwogela
Steven Mussa
Abubakar Sureboy
Nassor Mwamba Kizota
Zamoyoni Mwogera "Fundi"
Issa Athuman
David Mwakerebera
Edimile Runyamila
Kulikuwa na yule kipa kutoka Burundi, Mc Kenzie Ramadhani, alikuwa mzuri sana aisee.Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.
1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Godwin Aswile nick name yake ilikua "Scania"Kulikuwa na yule kipa kutoka Burundi, Mc Kenzie Ramadhani, alikuwa mzuri sana aisee.
Pia kulikuwa na namba nane mkali Sekilojo Chambua.
Nani anamkumbuka Richard Lumumba?
Godwin Aswile alikuwa hapitiki wala hapimiki
Walikuwa wanacheza goroli au ukuti ukuti!!!??Mnatuletea list ya wachezaji ambao walikuwa wanacheza kipnd marefa wanatumia miluzi
KinyulinyuliWalikuwa wanacheza goroli au ukuti ukuti!!!??
Msukuma huyo hajui R wala LKuna mchezaji mwenye jina la Nassor Mwamba Kizota kweli? Siyo umechanganya na huyo Said Mwamba "Kizota"!!!
Halafu hao akina Zamoyoni, ubini wao ni Mogela! Na siyo Mwogela! David Mwakalebela na siyo David Mwakerebera.
Pia huyo mchezaji uliyemuweka hapo mwisho anaitwa Edibily Jonas Lunyamila! Na siyo Edimile Runyamila.
Sijamuona nizar khalfani na canavaroHii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.
1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
😳😳😳🤣Kuna mchezaji mwenye jina la Nassor Mwamba Kizota kweli? Siyo umechanganya na huyo Said Mwamba "Kizota"!!!
Halafu hao akina Zamoyoni, ubini wao ni Mogela! Na siyo Mwogela! David Mwakalebela na siyo David Mwakerebera.
Pia huyo mchezaji uliyemuweka hapo mwisho anaitwa Edibily Jonas Lunyamila! Na siyo Edimile Runyamila.
Kura zao hazikutoshaSijamuona nizar khalfani na canavaro