chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Ha ha ha ha eti majangili.Uzi haujawagusa nyie wawindaji na majangili !
Tunazungumzia silaha binafsi za kujilinda ni mzigo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha eti majangili.Uzi haujawagusa nyie wawindaji na majangili !
Tunazungumzia silaha binafsi za kujilinda ni mzigo!
Kumbe kabla ya kukulinda wewe inabidi uilinde yenyewe kwanza🤔Kuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola!
Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola!
Ukweli ni kwamba bastola haiongezi usalama wowote bali inaongeza hatari ya usalama wako
Kumiliki silaha ni mzigo mkubwa sana tena sana!
Kiufupi kumiliki silaha ni mzigo mzigo mzigo mkubwa sana sishauri hata mtu atamani kumiliki silaha!
- Ukiwa na silaha lazima uzingatie mavazi
- Ukiwa na silaha muda ote kuificha
- Ukiwa na silaha muda wote kuilinda ili adui asikupokonye
- Ukiwa na silaha ni rahisi kujishtukia kwamba huenda kuna majambazi wanajua unayo hivyo watakuja kuipora ili wakaitumie kufanya uhalifu ( ili waichukue lazima wakuue kwanza)
- Kumiliki silaha ukipoteza au kuisahau mahali unawajibishwa kwa kosa la kutokuitunza silaha (kosa kisheria)
- Ukiwa na silaha ni rahisi kuitumia ili kuwatisha watu (kosa). Bastola inatakiwa ukiitoa unapiga unless kimbia hapo
- Ukiwa na silaha hutakubali kuumizwa kwa chochote hata kama ni mapenzi
- Ukiwa na silaha ukiamka usingizini badala ya kuwaza sala unawaza bastola IPO haipo
- Hutakiwi kugombea usafili ukiwa na silaha
- Ukiwa na mwenza mshenzi akijua una silaha mkigombana anaificha ili upagawe vizuri
- Malaria ikipanda kichwani kidogo tu unajimaliza
- Wanaotumia dawa za ukimwi siwashauri kabisa wawe na silaha.
- Kumiliki silaha ni zaidi ya kulinda hilizi ya mganga!
Bora umiliki Rungu kuliko bastola!
Halafu Ukiwa huna silaha mwili huwa una nguvu zaidi kuliko ukiwa na silaha!
Ndiyo maana asilimia kubwa ya watu wanaomiliki silaha huishia kujimaliza wenyewe, wenza au watoto wao kwa jambo dogo tu!
Sababu kubwa ni kwamba silaha inapumbaza akili kwa kuifanya uiwaze muda wote!
Uzuri wa silaha ni jeshini ambako huko silaha ni kitendea kazi namba moja!
Kama una silaha ni bora kuikabidhi jeshini vinginevyo ni suala la muda tu siku utajua haujui!
Inatunzwa wapi mkuu?Tatizo la wengi mnamiliki silaha halafu hamjaandaa mazingira ya kumiliki silaha.
Silaha haitunzwi chini ya mto gorodo au
droo ya kitanda.
Ni hatariChombo cha moto muhimu
[emoji3][emoji3][emoji3] watu mna majibu ya vituko sana... Ila silaha ni muhimu pamoja na changamoto zake, vibaka kama hawa panya road akisogea unamwaga ubongo kesi hamna maana wanasumbua jamiiUzi haujawagusa nyie wawindaji na majangili !
Tunazungumzia silaha binafsi za kujilinda ni mzigo!
Ukimiliki pesa wanakuja wenye siraha wanakudunda..
Ili uweke balance miliki uchawi kabla hawajaja tu steringi unakuwa ushajua kuna majambazi..[emoji23]
Hizo ni story za kusadikika,mara 2 imeniokoa njia ya bagamoyo chini ruvu saa 9 ucku...siku ingine mererani nimelala hotel ucku mkali wakavamia ila rum yangu wakashindwa mana nilitupia 2 mlangoniKuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola!
Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola!
Ukweli ni kwamba bastola haiongezi usalama wowote bali inaongeza hatari ya usalama wako
Kumiliki silaha ni mzigo mkubwa sana tena sana!
Kiufupi kumiliki silaha ni mzigo mzigo mzigo mkubwa sana sishauri hata mtu atamani kumiliki silaha!
- Ukiwa na silaha lazima uzingatie mavazi
- Ukiwa na silaha muda ote kuificha
- Ukiwa na silaha muda wote kuilinda ili adui asikupokonye
- Ukiwa na silaha ni rahisi kujishtukia kwamba huenda kuna majambazi wanajua unayo hivyo watakuja kuipora ili wakaitumie kufanya uhalifu ( ili waichukue lazima wakuue kwanza)
- Kumiliki silaha ukipoteza au kuisahau mahali unawajibishwa kwa kosa la kutokuitunza silaha (kosa kisheria)
- Ukiwa na silaha ni rahisi kuitumia ili kuwatisha watu (kosa). Bastola inatakiwa ukiitoa unapiga unless kimbia hapo
- Ukiwa na silaha hutakubali kuumizwa kwa chochote hata kama ni mapenzi
- Ukiwa na silaha ukiamka usingizini badala ya kuwaza sala unawaza bastola IPO haipo
- Hutakiwi kugombea usafili ukiwa na silaha
- Ukiwa na mwenza mshenzi akijua una silaha mkigombana anaificha ili upagawe vizuri
- Malaria ikipanda kichwani kidogo tu unajimaliza
- Wanaotumia dawa za ukimwi siwashauri kabisa wawe na silaha.
- Kumiliki silaha ni zaidi ya kulinda hilizi ya mganga!
Bora umiliki Rungu kuliko bastola!
Halafu Ukiwa huna silaha mwili huwa una nguvu zaidi kuliko ukiwa na silaha!
Ndiyo maana asilimia kubwa ya watu wanaomiliki silaha huishia kujimaliza wenyewe, wenza au watoto wao kwa jambo dogo tu!
Sababu kubwa ni kwamba silaha inapumbaza akili kwa kuifanya uiwaze muda wote!
Uzuri wa silaha ni jeshini ambako huko silaha ni kitendea kazi namba moja!
Kama una silaha ni bora kuikabidhi jeshini vinginevyo ni suala la muda tu siku utajua haujui!
😂Nimeshangaa Matola kamjibu kistaarabu kweli. Hongera Matola umekua sasa.Ha ha ha ha eti majangili.
Umesema kweli tupuHayo mabastola ni mimzigo sio sifa kuwa nayo kama unahitaji kumiliki uwe nayo pale unapoona upo hatarini kweli kweli unafanya biashara ya madini kama dhahabu au muda mwingi unakuwa na pesa nyingi sio milioni tano au kumi lakini vinginevyo bastola kukupeleka jela kifungo cha maisha ni sekunde,kuiacha chumbani na kukuta haipo sio kitu cha ajabu jiandae kwenda mahabusu na mwisho gereza litakuhusu,mkeo akijua unamchepuko anaweza kuvizia umelala akakuchapa risasi,mwanao au mdogo wako anaweza ichukua bila wewe kujua akaenda mchapa mtu risasi na msala ukawa kwako kwamba ni mzembe umeshindwa kuhifadhi silaha yako.Kama unampango wa kununua silaha uwatambie jamaa zako kwamba unamiliki mguu wa kuku achana nayo ni mzigo tena mzito sio kawaida na huwezi kuwa huru.
Dakika sifuri tu inamaliza mchezoKumbe kabla ya kukulinda wewe inabidi uilinde yenyewe kwanza🤔
Kumbe bastola ni kama hirizi tu😅😂