Kumiliki bastola ni mzigo; ni salama zaidi ukiwa huna

Huo siyo ujinga wa silaha, ni akili mbovu za mtu binafsi ila ana bonus ya kuwa na silaha.

Hata Polisi aliyemuuwa Akwilina angekuwa na akili timamu hilo tukio lisingewezekana, kwanza haupo katika hatari ya kushambuliwa wala kuuwawa unatumiaji silaha ya kivita kwa watu ambao wapo kwenye maandamano ya amani? Uliona walichokifanya wanajeshi wa Misri kwenye maandamano ya kumng'owa Hosni Mubaraka unadhani wale wanajeshi hawakuwa na silaha za kivita?
Na haya ni madhara ya watu kupata kazi kwa kujuana, unajikuta unatoa kazi kwa kenge tu hata weledi haina. Kulikuwa na ulazima gani wa kutoa silaha wakati mtu mwenyewe yuko tayari kuwa arrested anachohitaji ni utaratibu tu ufuatwe.
 
Majambazi wanaitaka hiyo!....Pia jua tu!! na ukubaliane na matokeo kuwa weye mleta mada kuwa huna kipaji nayo!!! Labda nikueleze hivi kuna watu hapa Duniani km mleta Mada wanaona kuwa na Mali nyingi kama Bakhresa ni Mateso!! ...

kufikiria hela tuuu!! na mali zakooo!! eti mlango ukigongwa tu unastuka!!....eti kuwa hulali kwa raha!! kila mara kufikiria Magari, viwanda vyako km vinafanya vizuri wanaona wanateseka......

Sisi wenye Damu ya kitajiri smaki kile kitendo cha kufikiria Mali zanavoingia na kutoka ndo raha yangu isiyo kifani na afya yangu inaimarika! hata ukiniulia hapo ni sawa tu! tajiri anaweza hata asile mwaka mzima ajiri ya furaha kumzidi,

ndo maana sisi viongozi na matajiri wooote Duniani ni wembambaaa kuliko Mameneja wetu!...chunguza uone!!...yaani sie huwa tunakubaliana na yote nife nibaki lkn Mali zangu zichanue!

siku tajiri akifirisika tu!! na yeye anakufa faster!!.... yaani mali zina muua bora auawe na mtu!! atakuwa amemsaidia!! linabakia jina tuuu! kuna watu humu Duniani kumiliki siraha ndo afya yao inaimarika,

hapo ndo anazidi pita chocho km chizi!! tena bila wasi wasi.......''utasikia si huyu Tajiri Smaki huyu? shikamoo Dada smaki?'' wapi hiyo! tunaomba tukusaidie!....yaani wao ndo wankuwa walinzi! kwa upande mwingine!!

halafu asikudanganye mtu eti siraha ya tajiri itapotea kirahisi tu!! Mweee!! iende wapi?? mnajipalia Makaa! Mtaani! basi hapo ujue ni kijiji/Mtaa Mzima mtaitafuta Kwa Magoti na machozi! tena usiku na Mchana, na Askari hawakoseagi!! wana lenga mule mule!!

Askari hawa Wakichoka kuwapa karinye karinye, wanaenda lala na kunywa Bia! hutawaona tena! hapo ujue ndo kwaanza wanakuja askari wengine vijana wapyaaa!! wanaendesha zoezi wanawatenga kwa Makundi,

mnaanza mojaaa!! sasa weye uruke kichura na Mama yako mzazi utakubaliiii? kisa siraha ya ujamabazi...utamsikia Mama anakulilia mwanangu flani si utoe tuu! !yaani mie mama yako nife hivi hivi??...usijidanganye kuiba siraha ya tajiri watakurengesha hao!! hao!

Mke wako kukufichia siraha yako ni umemlegezea sana!..lazima uwe km mwanaume ukitoa jicho tu ajinyeee!!...kwanza... siyo unajichekesha chekesha!! lazima uwe na nidhamu ya kuishi kitajiri tajiri!! Maskini nyie haziwafai hizi mtuachieni sie! ziko ajiri yetu!

na Mleta mada ukijichanganya nakubutua! bidaye nakulipa then unanishukuru!
 
Kuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola!

Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola!

Kama kuna huo ulazima wa kumiliki silaha unaothibitika, nashauri mamlaka irahisishe mchakato wa kuwapatia silaha wale watu wanaothibitisha wako mazingira hatarishi yauvamizi, utaratibu wa muda kuwapatia silaha upunguzwe angalau ndani ya mwezi mmoja au wiki moja mtu mwenye ulazima sana apewe kibari cha kumiliki silaha kutokana na udharula wa mazingira aliyopo! (Apewe hata kibari cha dharula/temporary)

Lakini inje ya hapo silaha ni HATARI NA NI MZIGO MKUBWA SANA kuwa nao!

Ukweli ni kwamba bastola haiongezi usalama wowote bali inaongeza hatari ya usalama wako

Kumiliki silaha ni mzigo mkubwa sana tena sana!
  • Ukiwa na silaha lazima uzingatie mavazi
  • Ukiwa na silaha muda ote kuificha ( Ilinde ikulinde)
  • Ukiwa na silaha muda wote kuilinda ili adui asikupokonye
  • Ukiwa na silaha ni rahisi kujishtukia kwamba huenda kuna majambazi wanajua unayo hivyo watakuja kuipora ili wakaitumie kufanya uhalifu ( ili waichukue lazima wakuue kwanza)
  • Kumiliki silaha ukipoteza au kuisahau mahali unawajibishwa kwa kosa la kutokuitunza silaha (kosa kisheria)
  • Ukiwa na silaha ni rahisi kuitumia ili kuwatisha watu (kosa). Bastola inatakiwa ukiitoa unapiga unless kimbia hapo
  • Ukiwa na silaha hutakubali kuumizwa kwa chochote hata kama ni mapenzi
  • Kama unapenda michepuko ndo kabisa hufai kumiliki silaha
  • Ukiwa na silaha ukiamka usingizini badala ya kuwaza sala unawaza bastola IPO haipo
  • Hutakiwi kugombea usafili ukiwa na silaha
  • Ukiwa na mwenza mshenzi akijua una silaha mkigombana anaificha ili upagawe vizuri
  • Malaria ikipanda kichwani kidogo tu unajimaliza
  • Wanaotumia dawa za ukimwi siwashauri kabisa wawe na silaha.
  • Kumiliki silaha ni zaidi ya kulinda hilizi ya mganga!
Kiufupi kumiliki silaha ni mzigo mzigo mzigo mkubwa sana sishauri hata mtu atamani kumiliki silaha!

Bora umiliki Rungu kuliko bastola!

Halafu Ukiwa huna silaha mwili huwa una nguvu zaidi kuliko ukiwa na silaha! (Walegevu hubeba silaha, walio shupavu hupata silaha katika uwanja wa vita)
Mfano!
Tundu lissu angekuwa na silaha siku ile uwezekano wa kufa ungekuwa mkubwa zaidi, maana angepata ujasiri wa kutoka kujibu mapigo jambo ambalo lingerahisisha yeye kupigwa zaidi ( Na ingesomeka ni mapigano)
Kukosa kwake Silaha kulimpa akili ya kumtegemea Mungu zaidi na kujificha
!

Kumiliki silaha ni sawa na kibubu cha hela chumbani ambacho muda wote roho inakereketa kutamani kukipasua hata ukisikia muuza mayai anapita inje!

Ndiyo maana asilimia kubwa ya watu wanaomiliki silaha huishia kujimaliza wenyewe, wenza au watoto wao kwa jambo dogo tu!
Sababu kubwa ni kwamba silaha inapumbaza akili kwa kuifanya uiwaze muda wote!

Uzuri wa silaha ni jeshini ambako huko silaha ni kitendea kazi namba moja!
Kama una silaha ni bora kuikabidhi jeshini vinginevyo ni suala la muda tu siku utajua haujui!
Heri umetoa ushauri maana watu tunatofautiana tabia unaweza shikwa jazba wakati mwingine mtu anakuja anakuletea uonevu uliopitiliza kama binadamu unaweza toa maamuzi mazito.Mfano yule jamaa mwaka 1971 aliyemfuata mtu shambani kwake Iringa anachapa kazi kwa jasho lake akamuambia habari za siasa ya Ujamaa akamkejeli,kumtukana na kutukana makaburi ya wazazi wake hapo kwa kweli kama una cha moto unaweza ukafungulia njugu.Naomba mimi tu nisiwe na bunduki kwa kweli
 
Asilimia 90% watu wanaomiliki bastola huwa hawaitumii kama ilivyokusudiwa ...wengi wao huishia kujimaliza au kumaliza wengine kwasababu zisizo za kijambaz
 
Majambazi wanaitaka hiyo!....Pia jua tu!! na ukubaliane na matokeo kuwa weye mleta mada kuwa huna kipaji nayo!!! Labda nikueleze hivi kuna watu hapa Duniani km mleta Mada wanaona kuwa na Mali nyingi kama Bakhresa ni Mateso!! ...

kufikiria hela tuuu!! na mali zakooo!! eti mlango ukigongwa tu unastuka!!....eti kuwa hulali kwa raha!! kila mara kufikiria Magari, viwanda vyako km vinafanya vizuri wanaona wanateseka......

Sisi wenye Damu ya kitajiri smaki kile kitendo cha kufikiria Mali zanavoingia na kutoka ndo raha yangu isiyo kifani na afya yangu inaimarika! hata ukiniulia hapo ni sawa tu! tajiri anaweza hata asile mwaka mzima ajiri ya furaha kumzidi,

ndo maana sisi viongozi na matajiri wooote Duniani ni wembambaaa kuliko Mameneja wetu!...chunguza uone!!...yaani sie huwa tunakubaliana na yote nife nibaki lkn Mali zangu zichanue!

siku tajiri akifirisika tu!! na yeye anakufa faster!!.... yaani mali zina muua bora auawe na mtu!! atakuwa amemsaidia!! linabakia jina tuuu! kuna watu humu Duniani kumiliki siraha ndo afya yao inaimarika,

hapo ndo anazidi pita chocho km chizi!! tena bila wasi wasi.......''utasikia si huyu Tajiri Smaki huyu? shikamoo Dada smaki?'' wapi hiyo! tunaomba tukusaidie!....yaani wao ndo wankuwa walinzi! kwa upande mwingine!!

halafu asikudanganye mtu eti siraha ya tajiri itapotea kirahisi tu!! Mweee!! iende wapi?? mnajipalia Makaa! Mtaani! basi hapo ujue ni kijiji/Mtaa Mzima mtaitafuta Kwa Magoti na machozi! tena usiku na Mchana, na Askari hawakoseagi!! wana lenga mule mule!!

Askari hawa Wakichoka kuwapa karinye karinye, wanaenda lala na kunywa Bia! hutawaona tena! hapo ujue ndo kwaanza wanakuja askari wengine vijana wapyaaa!! wanaendesha zoezi wanawatenga kwa Makundi,

mnaanza mojaaa!! sasa weye uruke kichura na Mama yako mzazi utakubaliiii? kisa siraha ya ujamabazi...utamsikia Mama anakulilia mwanangu flani si utoe tuu! !yaani mie mama yako nife hivi hivi??...usijidanganye kuiba siraha ya tajiri watakurengesha hao!! hao!

Mke wako kukufichia siraha yako ni umemlegezea sana!..lazima uwe km mwanaume ukitoa jicho tu ajinyeee!!...kwanza... siyo unajichekesha chekesha!! lazima uwe na nidhamu ya kuishi kitajiri tajiri!! Maskini nyie haziwafai hizi mtuachieni sie! ziko ajiri yetu!

na Mleta mada ukijichanganya nakubutua! bidaye nakulipa then unanishukuru!
Hahah
 
Ukimiliki mademu kuanzia 4 kwenda mbele Una ulinzi wa kutosha..Watu hawajui tu,Ghadafi Aliona hili.

download.jpg
 
Mara zote silaha huishia kuuwa mpnze au MTU wa karibu
 
Kuna demu huku mtaani ana ka hela ka nyanya ana stress za mapenzi sanaaaa et yupo kwenye process za kumiliki bastola.Najua itakuja tumika visivyo tu
 
Juz nilienda na jama angu kumdai mtu pesa bas akawa tunaemdai naleta ujuwaji bas jamaa alivyo chomoa chapu dogo akapnda kwenye gar tukaondoka nae had kituoni bas tukiwa kwenye gar dogo anaandikia msg kwa ndugu zake kuwa ametishiwa bastola bas Bab ake kijna kaje had kituoni kmafah yule jama angu akasema hyo kesi anaipelekakwa rpc kwa mwanae kutishiwa silaaa kumbe hakujuwa kuwa jama yule na rpc Ni kitu kimoja aliishia kutishia kuloga
 
Kuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola!

Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola!

Kama kuna huo ulazima wa kumiliki silaha unaothibitika, nashauri mamlaka irahisishe mchakato wa kuwapatia silaha wale watu wanaothibitisha wako mazingira hatarishi yauvamizi, utaratibu wa muda kuwapatia silaha upunguzwe angalau ndani ya mwezi mmoja au wiki moja mtu mwenye ulazima sana apewe kibari cha kumiliki silaha kutokana na udharula wa mazingira aliyopo! (Apewe hata kibari cha dharula/temporary)

Lakini inje ya hapo silaha ni HATARI NA NI MZIGO MKUBWA SANA kuwa nao!

Ukweli ni kwamba bastola haiongezi usalama wowote bali inaongeza hatari ya usalama wako

Kumiliki silaha ni mzigo mkubwa sana tena sana!
  • Ukiwa na silaha lazima uzingatie mavazi
  • Ukiwa na silaha muda ote kuificha (Ilinde ikulinde)
  • Ukiwa na silaha muda wote kuilinda ili adui asikupokonye
  • Ukiwa na silaha ni rahisi kujishtukia kwamba huenda kuna majambazi wanajua unayo hivyo watakuja kuipora ili wakaitumie kufanya uhalifu (ili waichukue lazima wakuue kwanza)
  • Kumiliki silaha ukipoteza au kuisahau mahali unawajibishwa kwa kosa la kutokuitunza silaha (kosa kisheria)
  • Ukiwa na silaha ni rahisi kuitumia ili kuwatisha watu (kosa). Bastola inatakiwa ukiitoa unapiga unless kimbia hapo
  • Ukiwa na silaha hutakubali kuumizwa kwa chochote hata kama ni mapenzi
  • Kama unapenda michepuko ndo kabisa hufai kumiliki silaha
  • Ukiwa na silaha ukiamka usingizini badala ya kuwaza sala unawaza bastola IPO haipo
  • Hutakiwi kugombea usafili ukiwa na silaha
  • Ukiwa na mwenza mshenzi akijua una silaha mkigombana anaificha ili upagawe vizuri
  • Malaria ikipanda kichwani kidogo tu unajimaliza
  • Wanaotumia dawa za ukimwi siwashauri kabisa wawe na silaha.
  • Kumiliki silaha ni zaidi ya kulinda hilizi ya mganga!
Kiufupi kumiliki silaha ni mzigo mzigo mzigo mkubwa sana sishauri hata mtu atamani kumiliki silaha!

Bora umiliki Rungu kuliko bastola!

Halafu Ukiwa huna silaha mwili huwa una nguvu zaidi kuliko ukiwa na silaha! (Walegevu hubeba silaha, walio shupavu hupata silaha katika uwanja wa vita)
Mfano!
Tundu lissu angekuwa na silaha siku ile uwezekano wa kufa ungekuwa mkubwa zaidi, maana angepata ujasiri wa kutoka kujibu mapigo jambo ambalo lingerahisisha yeye kupigwa zaidi ( Na ingesomeka ni mapigano)
Kukosa kwake Silaha kulimpa akili ya kumtegemea Mungu zaidi na kujificha
!

Kumiliki silaha ni sawa na kibubu cha hela chumbani ambacho muda wote roho inakereketa kutamani kukipasua hata ukisikia muuza mayai anapita inje!

Ndiyo maana asilimia kubwa ya watu wanaomiliki silaha huishia kujimaliza wenyewe, wenza au watoto wao kwa jambo dogo tu!
Sababu kubwa ni kwamba silaha inapumbaza akili kwa kuifanya uiwaze muda wote!

Uzuri wa silaha ni jeshini ambako huko silaha ni kitendea kazi namba moja!
Kama una silaha ni bora kuikabidhi jeshini vinginevyo ni suala la muda tu siku utajua haujui!
Sijawahi ona umuhimu wa kumiliki siraha zaidi ya karaha na hasara
 
Ndo maana Askari wanaoenda depo kabla ya kupewa silaha mafunzo yao yanakua na kero za kila aina wengine wanagaragazwa kwenye matope bila kosa, wengine wanatukanwa kwanzia bibi yake wazazi had mdogo wake wa mwisho bila kosa, adhabu za Mara kwa mara bila sababu za msingi na wanazifanya bila kuhoji wala kukataa

hizo kero wanazopitia kipindi kirefu cha mafunzo kinawajenga kuwa wavumilivu hata akipewa silaha hawezi kukutandika risasi kisa umemtukania mama yake, maana kashazoea matusi na majibu mabaya yasiyo ridhisha
Ukija kwetu sisi ambao hatujapita huko wala hatujajengwa kisaikolojia ukinitukana na nina bastola mzee naweza kukutia ulemavu.
Au siyo
 
Ukiwa tajiri sana lazimia umiliki bunduki au uwe n watu wanomiliki bunduki kila mara.
 
Sijawahi ona umuhimu wa kumiliki siraha zaidi ya karaha na hasara
Kabisa! Ni bora kutumia mbinu ya tahadhari kuliko kukaa na bunduki mwisho wake Mara nyingi huwa nikuuwa mpnz au mfanyakazi kwa migogoro midogo tu
 
Back
Top Bottom