Kumiliki bastola ni mzigo; ni salama zaidi ukiwa huna

Wazee wetu walikuwa na magobore yaliwasaidia kuwinda ili kuleta mboga nyumbani!
 
Hizo ni story za kusadikika,mara 2 imeniokoa njia ya bagamoyo chini ruvu saa 9 ucku...siku ingine mererani nimelala hotel ucku mkali wakavamia ila rum yangu wakashindwa mana nilitupia 2 mlangoni
Silaha ni muhimu sana kwa ajili ya kujilinda. Kuna situation inakuokoa sana
 
Kwa matukio niliyoyashuhudia kwa wamaomiliki hizo silaha , niliapa sitakuja kumiliki silaha
Zinasaidia kweli ila zinabeba uhuru na kukupa ujasiri mazingira ambayo ilitakiwa utulie
 
Kwa matukio niliyoyashuhudia kwa wamaomiliki hizo silaha , niliapa sitakuja kumiliki silaha
Zinasaidia kweli ila zinabeba uhuru na kukupa ujasiri mazingira ambayo ilitakiwa utulie
Polisi wenyewe wanasilaha kila siku ila mbungi ikitokea huwa wanasikilizia kwanza mlio! Hahahah

Sasa wewe wa kipapatio chako unawatishia pah pah pah! Kinawatia watu hasira wanakupasua
 
Sio kila mtu anakua katika hali anayoisema mleta mada akimiliki hicho kifaa.

Ni sawa na gari tu. Wengine wanatambia na kutongozea wanawake wengine wanaona ni chombo tu cha usafiri.
 
Well said.
 
Huyu nae analipwa mshahara kwa Kodi zetu asee,!!
 
Ndo uone ujinga wa silaha ulivyo, kaomnwa kitambulisho katoa silaha!
Kuna mwingine huko aliombwa kibari/leseni akatoa silaha!
Huo siyo ujinga wa silaha, ni akili mbovu za mtu binafsi ila ana bonus ya kuwa na silaha.

Hata Polisi aliyemuuwa Akwilina angekuwa na akili timamu hilo tukio lisingewezekana, kwanza haupo katika hatari ya kushambuliwa wala kuuwawa unatumiaji silaha ya kivita kwa watu ambao wapo kwenye maandamano ya amani? Uliona walichokifanya wanajeshi wa Misri kwenye maandamano ya kumng'owa Hosni Mubaraka unadhani wale wanajeshi hawakuwa na silaha za kivita?
 
Mkuu kila jambo linatakiwa uzoefu.

Ushauri wako una mashiko kwa baadhi ya watu lakini si kila mtu auosomaye!

Kumiliki silaha kunatakiwa uzoefu na nidhamu, pia afya ya akili.

Silaha ya moto ni kifaa kizuri sana kujilindia dhidi ya mabazazi madhulumati ya roho na mali za watu.

Binafsi nikiwa na bunduki ya aina yoyote inayofanyakazi vizuri bila mapingamizi hasa hizi Auto, siwezi kutishwa na jambazi yeyote ama vikundi vya panya road vinavyovamia makazi ya watu na kupora.

Ukivamiwa na ukatuliza akili, jambazi hata wawe kikundi unawasambaratisha bila wewe kupata madhara yoyote.

Umiliki wa bunduki hauwezi kunibadili tabia kama ulizozieleza hapo juu kwa sababu nina akili timamu.
 
"Uzuri wa silaha ni jeshini ambako huko silaha ni kitendea kazi namba moja!
Kama una silaha ni bora kuikabidhi jeshini vinginevyo ni suala la muda tu siku utajua haujui!"
 
Na advantage kubwa ukijurikana fulani ana moto nyumbani hakuna kima yeyote wa kuisogelea hiyo nyumba kuja kufanya uhalifu.

Ukisikia hilo limetokea hao siyo wezi wala majambazi bali ni kikundi maalum kimetumwa kuja kukuuwa tu kuna mambo yatakuwa yapo behind the scenes, ni kama vile al shaabab anavamia kambi ya jeshi.
 
Serikali iliyopita ilikuwa ya ovyo sana,inakuwaje waziri anafanyiwa kitendo kama hicho!
 
Serikali iliyopita ilikuwa ya ovyo sana,inakuwaje waziri anafanyiwa kitendo kama hicho!
Walikuwa na baraka zote kutoka kwa mungu wa Chato.

Hayo madogo ukiyaona ya Oke Sabaya utajuwa huyu ni Maliamungu kwenye utawala wa Idd Amin.

Ukiona mtu anatetea utawala wa awamu ya tano basi ujuwe kichwani kwake kuna mushkeli na ni muabudu mizimu na mnyonya damu za watu.
 
Mi ningekuwa nayo aisee mpaka sasa ningekuwa nimeuwa wengi sana tena hawa wapora simu na watemi wa bar.
 
Kwani taratibu za kuipata zipo vipi maana kuna jamaa anayo anatamba sana hapa feri soko la samaki.
 
Silaha ina heshima yake,japo ni risk kuimiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…