How?Kimasihara tu..
Pisi za UD zikiona BMW unadhani zinapakuchomoa?How?
Vitz itafaa kweli🙄Pisi za UD zikiona BMW unadhani zinapakuchomoa?
Wale kikubwa matairi manne. Iwe STL STK T112AAA au T232DUA wao hawajui.Vitz itafaa kweli🙄
Daah,imeisha hio.Pisi za UD zikiona BMW unadhani zinapakuchomoa?
Kutoka kimaisha maana yake ni kutoka kwenye hali mbaya kimaisha na kwenda au kuelekea kwenye hali ya unafuu kimaisha......unafuu wa kimaisha ni kuwa na uhakika wa kupata mahitaji yako ya kimsingi kupitia shughuli unayoifanga au vitega uchumi vyako......"Kutoka kimaisha" maana yake nini kwa mujibu wako
Gari inarahisisha kupata papuchi za kuchakata pia unaweza ukalitumia kama ka mini lodge kwa hivyo unaokoa muda na gharama.
Nawasilisha kwa upande wangu.