Kumiliki gari kuliwezaje kukupa michongo na kukutoa kimaisha?

Utakua ni binti mmoja hivi unaejiheshimu sana ndiyo vizuri au sio..

Ni kujitambua tu, mtu unaejitambua hawezi vutika na magari, na uzuri wa mtu na vingine ili kuanzisha mahusiano swala la mahusiano /ndoa /uchumba linahitaji mtu na tabia zake, awe na hofu na Mungu kama mali mtazitafuta mkiwa pamoja,

Kwa kifupi ukiwa mtu wakudanganyika na magari siku ya mwisho anaekuoa sio gari ni mtu na tabia zake...
Mmmmmmhmn changa la macho. Hakuna binti aliyezaliwa kuanzia miaka ya 1980 hadi leo ambaye hahusudu magari trust me.

Anaweza sema kwa maneno kuwa yeye hapendi sijui nini na nini ila ndani ya nafsi yake ni tofauti. Mwanamke kuhusudu mwanaume mwenye gari ni out of question issue..... Labda awe na gari ya bei na awe wa kishua kwao magari yamepaki tele hapo naweza nikaelewa ila mwanamke on average ambaye familia yake wote wanapanda daladala, trust me huyo ni ngumu sana kujizuia kuhusudu mwanaume mwenye pesa na mali kama magari.

Take it from me.... Naongelea Experience my friend......
 
Punguza kuwa una jumuisha mtizamo wako kwa watu wote, kwa vile umekutana na wanawake wapapatikiaji magari ya wanaume usidhani wote tuko hivyo tupo tunaojua kulinda staha utu na heshima zetu

Kila mmoja anapenda maisha mazuri pasipo kujali jinsia yake, ila jinsi ya kupata hayo maisha mazuri na uvumilivu wa hatua zake tunatofautiana
 
Mmmmmmhmn labda mwanamke wa hivyo awe mbaya wa muonekano na sura yaani asiwe pisi kali.

Ila wanawake hawa ambao akipost Instagram anapata likes hata tatu tu anaanza kujiona Kim Kardashian mapozi yanaanza.

Tusidanganyane..... Wanawake mnapenda sana wanaume wenye gari hiyo haipingiki. Na mwanamke akikataa au kuvunga hataki kumsogelea mwanaume mweye gari basi jua hapo unaigiziwa anataka akuonyeshe ana misimamo ila ndani ya nafsi atajilaumu hadi basi unless awe mshamba wa magari yaani hayajui ila anaejua dhahma ya kuishi mjini hapa bila gari huwa mmmmmmhmn ngumu sana kukaza.
 
Mfano wako umeegemea kwa slay queens,

baki na mtizamo wako siko hapa kukubadilisha
 
Sio swala la mtazamo ni uhalisia. Pengine wewe ndie unaongelea mtazamo sababu sio mwanaume na haujawahi kuona maisha ya mwanaume in a day yanakuwaje. Ila hapa hata tukiwahoji wanaume wote watakwambia huo ukweli.

Mwanaume akiwa na usafiri anakuwa na extra score kwa mwanamke kukubaliwa kuliko "mpima hekari" ....

Hata ukutane na jamaa asie na usafiri binafsi yupo na girlfriend wake kituoni ukapaki gari kuwasalimia na kuwapa lift utaona how insecure jamaa anakuwa.......

Bi dada i know unajaribu kuprove jambo ila mimi sipo hapa kudebate nadharia nakwambia uhalisia..... Fanya utafiti mdogo tu utakuja nambia....

By the way, almost kila binti nowadays ni potential slayqueen na sio uongo......
 
Siku njema kwako
 
Mkuu uliwaita wasio na magari ni wapima hekari Mungu anakuona ujue
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom